Jaman huyo kijana ni kama alikuwa anamstua mama Lowasa aache kusema kanywa bia
Jaman huyo kijana ni kama alikuwa anamstua mama Lowasa aache kusema kanywa bia
Kama ni hivyo kilicho mkimbiza ni nini?
Labda alilewa!!
Ndo amshike kalio kijana ana tabia chafu sana na hana malezi mazuri. Huo ni uzalilishaji
Mama Lowasa au alieshika kalio la mama Lowasa?
Mama Lowasa au alieshika kalio la mama Lowasa?
jamani mnatutia genye wengine huku!
Huyo kijana hana heshima wala adabu. Nashangaa vijana waliokuwepo hawakumshughulikia kwa kumpa ngeu juu ya turu. Huyo ni sawa na mama yake. Huyo mama ana wajukuu.. Senzi zake
Dah! umenitinyia genye ulivyosema hivyo!