Mgambilwa ni mntu
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 2,869
- 3,188
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Mkoa wa Mtwara, kuanzia mwaka 2014-2018, Kassimu Bingwe amemwomba radhi Rais Dk. John Pombe Magufuli na Watanzania wote kutokana na kuwa kinara wa uchochezi na vurugu mkoani humo.
Alisema kuwa, Watanzania walikuwa na shida ya maendeleo lakini Serikali ya Awamu ya Tano inaenda kwa kasi kubwa kuwaletea maendeleo hayo. Alidai "ni mara ngapi wakati tuko CHADEMA tulikuwa tukipanda majukwaani na kudai tunataka maendeleo? Lakini leo anakuja mtu anasema anataka demokrasia badala ya maendeleo, hivi wewe ni kichaa."