Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mtwara adai kuwa CHADEMA mwaka 2015 walinadi Maendeleo: Wanaonadi Demokrasia badala ya Maendeleo ni vichaa.

Mgambilwa ni mntu

JF-Expert Member
May 30, 2017
2,869
3,188
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Mkoa wa Mtwara, kuanzia mwaka 2014-2018, Kassimu Bingwe amemwomba radhi Rais Dk. John Pombe Magufuli na Watanzania wote kutokana na kuwa kinara wa uchochezi na vurugu mkoani humo.
Alisema kuwa, Watanzania walikuwa na shida ya maendeleo lakini Serikali ya Awamu ya Tano inaenda kwa kasi kubwa kuwaletea maendeleo hayo. Alidai "ni mara ngapi wakati tuko CHADEMA tulikuwa tukipanda majukwaani na kudai tunataka maendeleo? Lakini leo anakuja mtu anasema anataka demokrasia badala ya maendeleo, hivi wewe ni kichaa."

IMG_6087.JPG
 
Kawaida. Tumeshawazoea wanafiki na wachumia tumbo

Halafu mkuu mleta 'uzi' hoja yako ni nn kuleta hiki kipisi cha huu utumbo?
 
Huyu kaja na gia ya rivas lakini hajui kutumia vioo vya pembeni na cha ndani katikati lazima aparamia vitu. Huyu anaweza kuwa mwenyekiti wa wajinga. Inaonesha haelewi maana ya maendeleo na demokrasia
 
Chadema ya akina slaa ilikuwa ya maendeleo hii Chadema ya Sasa ni Chama cha siasa I mean Chama cha porojo
 
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Mkoa wa Mtwara, kuanzia mwaka 2014-2018, Kassimu Bingwe amemwomba radhi Rais Dk. John Pombe Magufuli na Watanzania wote kutokana na kuwa kinara wa uchochezi na vurugu mkoani humo.
Alisema kuwa, Watanzania walikuwa na shida ya maendeleo lakini Serikali ya Awamu ya Tano inaenda kwa kasi kubwa kuwaletea maendeleo hayo. Alidai "ni mara ngapi wakati tuko CHADEMA tulikuwa tukipanda majukwaani na kudai tunataka maendeleo? Lakini leo anakuja mtu anasema anataka demokrasia badala ya maendeleo, hivi wewe ni kichaa."

View attachment 830907
Inamaana huyu jamaa anajua hakuna demokrasia,cha msingi maendeleo!!!!
 
Jana maaskofu walioandika waraka wametubu mbele ya Mungu na kukiri kweli JPM kateuliwa na Mungu.
Na Biblia imesema "Touch not my anointed"!
Bila shaka Rais Magufuli ameonyesha ujasili mkubwa kwa namna alivyokabiliana na vizingiti vya upinzani kwani aliendelea kushikilia msimamo wake.
 
Back
Top Bottom