Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,379
- 2,533
Maandiko matakatifu yanafafanua kwamba laana ya usaliti hutafuna hadi kizazi cha 4 .Aliyekua Mratibu wa Kampeni za ACT Wazalendo katika uchaguzi Mkuu wa 2015 Ndugu Nixon Tugara Ajiunga na Chama Cha Mapinduzi.
hakuna dhambi mbaya kama ya usaliti!