Aliyekuwa mratibu wa kampeni ACT 2015 ahamia ccm!

[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
 
Siwapendi tena wanasiasa wote wawe WA upinzani au WA chama tawala..huwa nahisi wanacheza na akili zetu tu
 
Ngoja tufuatilie habari hizi ili baada ya hawa wote tuone kiongozi mkuu yeye atarudi cdm au ataenda huko!
 
Jadilini ya maana kuhama kurudi ccm si kitu cha ajabu njaa ya mtu mmoja mmoja isisumbue akili za watu wengi
 
kama Chadema ilivyompokea maMvi niusaliti wakiwango cha juu, waache laana iwatafune. Mungu hadhihakiwi.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom