figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,007
- 63,972
kuna tetesi kwamba yule aliyekuwa anagombea igunga kupitia chama cha UPDP mheshimiwa Hemedi Ramadhan kaamua kujiunga CUF ili kuongeza nguvu ya kukitoa chama cha mapinduzi madarakani.anasema hafurahishwi na kuona vijana wa kitanzania kuendelea kuungua jua kama solar pannel.
huyu jamaa ndo alikua anasema kwenye kampeni zake kwamba akishinda wananchi watakuwa wanakunywa na kula hadi wakose rivasi kama samaki.kwenye uchaguzi wa igunga ulioisha alijikusanyia kura 63.mia
Lol... Ushauri wa bure huu na nafikiri utamfaa sana!..nikimkumbuka na yale maneno yake mbavu sina!..ajiunge na kundi la ze comedy ndio panamfaa zaidi
Hemedi Ramadhani, ameaumua kwenda kwa wenzake! CCM B
Dah karuka mkojo kakanyaga mavi mabichii.
Siyo mjinga huyu, kaenda kwa wenzake wa "matamko". Labda wamemuahidi supportDah karuka mkojo kakanyaga mavi mabichii.
swafi kbs bwashee. Vp hbr za huko?habari yako mkuu.