Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,304
- 271,568
Mara nyingi wanaotoka huko wakiingia upinzani wanashughulikiwa, Mifano ni mingi mno, Wako walioshushwa kwenye Magari na kutobolewa macho.
===================
Aliyekuwa Kamishna wa Jeshi la Polisi, Jamal Rwambow leo Jumanne Agosti 5, 2025, amejiunga na Chama cha ACT Wazalendo. Rwambo amekabidhiwa kadi yake ya uanachama na Kiongozi wa chama, Dorothy Semu.
Labda uhamisho wake uwe wa Mchongo, kwa vile chama alichohamia kimekula kolabo.
Tuendelee kusubiri.