Aliyekuwa Diwani wa CHADEMA kata ya Gangilonga na Naibu Meya Manispaa ya Iringa Daddy Igogo afukuzwa uanachama

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
602
2,505
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) JIMBO LA IRINGA MJINI :

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA.

YAH: KUFUKUZWA UANACHAMA NDUGU DADY JOHANES IGOGO :

Dady Igogo aliyekuwa Diwani wa CHADEMA kata ya Gangilonga na Naibu Meya Manispaa ya Iringa ; alikisaliti Chama na kujivua nafasi ya Unaibu Meya na baadaye Udiwani kwa kile alichokiita " Sababu zilizoko moyoni mwake "

Katiba ya CHADEMA 2006 , Toleo la 2016 Ibara 5.4. Inaeleza na kufafanua juu ya "kukoma kwa uanachama ".

Vile vile Ibara 5.4. (1 , 2, na 3) inaeleleza kuwa mwanachama atakoma uanachama wake kwa kujiuzulu , kufariki , kuachishwa ama kufukuzwa.

Ndugu Igogo kwa muda mrefu amekuwa na mwenendo usioendana na Itikadi , Falsafa , Madhumuni , Kanuni , Maadili na Sera za Chama .

Kamati tendaji ya Jimbo katika kikao chake cha dharura kilichoketi Tar.24/04/2018 kiliazimia yafuatayo :

1. Dady Igogo avuliwe ujumbe wa kamati tendaji ya Jimbo kwa mujibu wa Ibara 7.4.10 (x) na Ibara 7.7.8 (k) kwa kwenda kinyume na katiba ya chama , kanuni na maadili ya chama.

2. Dady Igogo afukuzwe uanachama kwa mujibu wa Ibara 5.4.3 kwa kuwa amekosa sifa za kuendelea kuwa mwanachama wa CHADEMA.

Hivyo kuanzia leo tar 28/04/2018 Chama kinatoa taarifa kwa wanachama na umma kuwa Dady Igogo sio mwanachama wa CHADEMA tena.

Imetolewa na ;

Suzana Mgonokulima.

Katibu wa CHADEMA.

Jimbo la Iringa Mjini.

27/04/2018.
 
Chadema lady.png
Mambo hayo.......
 
Kumbe alijivua mwenyewe?
 
Mlikuwa wapi kutoa tangazo hadi mmesikia Mwenyekiti wa CCM anakuja?........mmechelewa!
 
chadema walichelewa. huyu ni mhadhiri pale rucu. vitendo vyake vilikuwa haviendani na itikadi ya chadema kabisa....
 
Ni mmoja watakaojiunga CCM wakati mwenyekiti akiwa Iringa.Gangilonga ni kata yenye jina kubwa Iringa,ndipo ilipo Ikulu ndogo.Viongozi wengi wa serikali kama RC,RPC,DC na DSO wanaishi huku.

Hii ndio kata ya nyumbani kwa mwanajukwaa mwenzetu Mjengwa,iliwauma sana CCM na makada wenzao kina Mjengwa kuona kata hii ipo chini ya CCM.

Igogo ni kijana mdogo sana aliyekulia ktk siasa za mabadiliko,hawa ni aina ya akina Albert Msando,kwamba katika usomi wao na kukuwa kwao hawakuwahi kuwa wanachama wa CCM,wanaenda CCM sababu ya nyakati tu na mazingira,huu ndio unafiki wa wasomi wa Afrika.
 
Alijivua udiwani na unaibu Meya baada ya kulipwa mil 30 tu ! na alipanga kutumia sikukuu ya Mei mosi kuhamia ccm , kwa hiyo katimuliwa .

CCM inapanga kutumia mei mosi kufanya siasa za kishamba kama ilivyofanya kwenye sherehe za jeshi Arusha
Mshiko nje nje.. Ubataka kusema ile pesa isiyojulikana 1.5T imepata matumizi au unatuchonganisha na Mwalimu Faster faster?
 
Ni mmoja watakaojiunga CCM wakati mwenyekiti akiwa Iringa.Gangilonga ni kata yenye jina kubwa Iringa,ndipo ilipo Ikulu ndogo.Viongozi wengi wa serikali kama RC,RPC,DC na DSO wanaishi huku.

Hii ndio kata ya nyumbani kwa mwanajukwaa mwenzetu Mjengwa,iliwauma sana CCM na makada wenzao kina Mjengwa kuona kata hii ipo chini ya CCM.

Igogo ni kijana mdogo sana aliyekulia ktk siasa za mabadiliko,hawa ni aina ya akina Albert Msando,kwamba katika usomi wao na kukuwa kwao hawakuwahi kuwa wanachama wa CCM,wanaenda CCM sababu ya nyakati tu na mazingira,huu ndio unafiki wa wasomi wa Afrika.
Njaa inadhalilisha sana vijana ! hivi Igogo ni wa kununuliwa kwa mil 30 na Polepole ?
 
Hakuna Demokrasia Chadema...udikteta umetamalaki..

Chama chetu pendwa ccm hakuna udikteta, ni chama tawala trillion moja kwetu kama laki tu chama chetu tajiri atakaeleta fyoko fyoko tunamtia risasi

Madiwani na wabunge wanahamia kwetu Kwa bei chee na bei juu mpka matumiz ya serikali yanaonekana kuna hasara ya 1.5 T ccm daima mbele Kwa mbele
 
DADY IGOGO amefukuzwa uanachama wa CHADEMA kuanzia leo tar. 28/04/2018.

Taarifa zake anazosambaza za kujivua uanachama na kujiunga CCM ni kuficha AIBU ya USALITI aliokifanyia Chama.

Hivyo Dady Igogo apuuzwe. Asitake kujikosha .Dady AMEFUKUZWA !
 
Ni mmoja watakaojiunga CCM wakati mwenyekiti akiwa Iringa.Gangilonga ni kata yenye jina kubwa Iringa,ndipo ilipo Ikulu ndogo.Viongozi wengi wa serikali kama RC,RPC,DC na DSO wanaishi huku.

Hii ndio kata ya nyumbani kwa mwanajukwaa mwenzetu Mjengwa,iliwauma sana CCM na makada wenzao kina Mjengwa kuona kata hii ipo chini ya CCM.

Igogo ni kijana mdogo sana aliyekulia ktk siasa za mabadiliko,hawa ni aina ya akina Albert Msando,kwamba katika usomi wao na kukuwa kwao hawakuwahi kuwa wanachama wa CCM,wanaenda CCM sababu ya nyakati tu na mazingira,huu ndio unafiki wa wasomi wa Afrika.
Amesoma kwa kiwango gani Ndugu?

Neno wasomi linatumika vibaya kwa kuamini kwamba, kila mwenye cheti basi amesoma, NO! Msomi anatakiwa kuwa na uwezo wa kuunda elimu ili siku moja wengine waseme kama fulani alivyosema. sasa hawa jamaa ambao wanashinda darasani wakikumbusha wanafunzi mambo waliyosoma wao, si lazima waitwe wasomi.
 
Back
Top Bottom