DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Polisi wa kutuliza ghasia wasababisha kifo cha kijana mmoja aliyekuwa kwenye maandamano ya kudai haki kifo cha Ojwang na hivyo kuongeza hasira ya wananchi dhidi ya ukatili wa polisi
Video inayosambaa mtandaoni inawaonesha askari 2 wa kutuliza ghasia wakimfuata kijana muuza barakoa wakionekana kumpiga na kitako cha bunduki, kisha kuongea nae kidogo kabla ya polisi mmoja wao kuonekana akimnyooshea bunduki na kumfyatulia na kisha kuondoka na kumuacha hapo.
Wananchi walijaa, wengine wakionekana kupiga kelele na kuelezea jinsi tukio lilivyotokea huku mmoja akionesha sehemu ya ganda la risasi lililobaki baada ya kufyatuliwa.
Chanzo:CitizenDigital=====
police officers on Tuesday opened fire at a hawker selling face masks at close range along Moi Avenue in Nairobi CBD during the demonstrations calling for the resignation of Deputy Inspector General Eliud Lagat.
In a video circulating widely on social media, two police officers cornered the hawker along Moi Avenue and began raining blows on him.
Armed to the teeth, one of the officers cocked the gun and shot the man before fleeing the scene.
Following the incident, several good Samaritans were seen carrying the man to ostensibly save his life.
The video has since elicited an outcry from the public as they call for justice against police brutality. The Law Society of Kenya (LSK) president, Faith Odhiambo, also termed the situation "Unacceptable."

Chanzo:CitizenDigital