Mogadishuu
Member
- Jun 22, 2019
- 33
- 65
Pole sana mkuu, mitihani yetu inaweza kufanana, hiyo ni njia panda mbaya sana katika maishaHuu ni usemi nilisikia kwa Sheikh mmoja hivi, nahisi amenigusa mimi kabisa. Nimekosea kupenda hivyo nimeyakosea Maisha yangu kabisa. Nipo kwenye ndoa lakini niliyemuoa nilikuja gundua simpendi japo yeye ananipenda sana na ninayempenda siwezi kumuoa ilimradi tabu tupu.
Natamani siku zirudi nyuma nirekebishe makosa lakini haiwezekani sijui hata nifanye nini. Natamani niishi peke yangu tu lakini najiuliza mimi ni mwanaume nikishikwa na hamu itakuwaje? Nidhini? Siwezi. Au nibaki kwenye ndoa lakini tuishi mbali mbali na huyo mke wangu, maana simtendei haki kuwa nae karibu, namkosea mpaka nafsi inanisuta. Naona bora nibaki peke yangu tu, niwahudumie familia nikiwa mbali nao, nimpe na uhuru huyo mke wangu kama akipata mtu nimpe talaka ili aolewe na mwingine.
Na huyo ninayempenda hatuwezi kuwa wote tena. Shida
Ulijuaje kama ndo nia yake? Huenda alikupenda kweli.Siku za nyuma kidogo nilienda kuchumbia sehemu....na kilichonivuta pale ni maadili aliyokuwa nayo yule binti....si unajua waislamu wanaovaa stara.....ila ilinibidi ni stop mchakato mzima baada kulisoma game niligundua binti hanipendi ila ameamua kukubali kuolewa kuzikimbia dhiki za nyumbani kwao....baadae ingekuwa ndoa ndoano hii........
Kuna muda nilikuwa nikijitosa kwenda nyumbani kwao binti walau nipate kuzungumza nae mambo mawili matatu....nikifika tu binti anenda kujificha😁😁😁Ulijuaje kama ndo nia yake? Huenda alikupenda kweli.
Siku za nyuma kidogo nilienda kuchumbia sehemu....na kilichonivuta pale ni maadili aliyokuwa nayo yule binti....si unajua waislamu wanaovaa stara.....ila ilinibidi ni stop mchakato mzima baada kulisoma game niligundua binti hanipendi ila ameamua kukubali kuolewa kuzikimbia dhiki za nyumbani kwao....baadae ingekuwa ndoa ndoano hii........
Mwanamke hapendi mkuu kama unasubiria kuoa mwanamke anayekupenda utachelewa Sana maana mwanamke anatii na mwanaume anapenda ndo maana mtu anatoka mwanza huko anaenda kuoa tanga kwa mwanamke aliyeonyeshwa siku moja tu ndugu zake wa karibu.Siku za nyuma kidogo nilienda kuchumbia sehemu....na kilichonivuta pale ni maadili aliyokuwa nayo yule binti....si unajua waislamu wanaovaa stara.....ila ilinibidi ni stop mchakato mzima baada kulisoma game niligundua binti hanipendi ila ameamua kukubali kuolewa kuzikimbia dhiki za nyumbani kwao....baadae ingekuwa ndoa ndoano hii........
Kuna mahali niliwahi kusikia wajuzi wa mambo wakisema, "wengi walioko kwenye ndoa hawapendani, na wengi ambao wanapendana hawako kwenye ndoa".Huu ni usemi nilisikia kwa Sheikh mmoja hivi, nahisi amenigusa mimi kabisa. Nimekosea kupenda hivyo nimeyakosea Maisha yangu kabisa. Nipo kwenye ndoa lakini niliyemuoa nilikuja gundua simpendi japo yeye ananipenda sana na ninayempenda siwezi kumuoa ilimradi tabu tupu.
Natamani siku zirudi nyuma nirekebishe makosa lakini haiwezekani sijui hata nifanye nini. Natamani niishi peke yangu tu lakini najiuliza mimi ni mwanaume nikishikwa na hamu itakuwaje? Nizini? Siwezi. Au nibaki kwenye ndoa lakini tuishi mbali mbali na huyo mke wangu, maana simtendei haki kuwa nae karibu, namkosea mpaka nafsi inanisuta.
Naona bora nibaki peke yangu tu, niwahudumie familia nikiwa mbali nao, nimpe na uhuru huyo mke wangu kama akipata mtu nimpe talaka ili aolewe na mwingine.
Na huyo ninayempenda hatuwezi kuwa wote tena. Shida
Haswaaaah.Ningejua huja baadae!! Too late
Mmh, mbona hayo Ni kwajili ya utoto wake tuKuna muda nilikuwa nikijitosa kwenda nyumbani kwao binti walau nipate kuzungumza nae mambo mawili matatu....nikifika tu binti anenda kujificha😁😁😁
Pole sana ndugu yangu.Huu ni usemi nilisikia kwa Sheikh mmoja hivi, nahisi amenigusa mimi kabisa. Nimekosea kupenda hivyo nimeyakosea Maisha yangu kabisa. Nipo kwenye ndoa lakini niliyemuoa nilikuja gundua simpendi japo yeye ananipenda sana na ninayempenda siwezi kumuoa ilimradi tabu tupu.
Natamani siku zirudi nyuma nirekebishe makosa lakini haiwezekani sijui hata nifanye nini. Natamani niishi peke yangu tu lakini najiuliza mimi ni mwanaume nikishikwa na hamu itakuwaje? Nizini? Siwezi. Au nibaki kwenye ndoa lakini tuishi mbali mbali na huyo mke wangu, maana simtendei haki kuwa nae karibu, namkosea mpaka nafsi inanisuta.
Naona bora nibaki peke yangu tu, niwahudumie familia nikiwa mbali nao, nimpe na uhuru huyo mke wangu kama akipata mtu nimpe talaka ili aolewe na mwingine.
Na huyo ninayempenda hatuwezi kuwa wote tena. Shida