Wana jf kuna ndugu yangu amekosa mkopo wa kusoma chuo kwa 2014/2015. Ina maana hatapewa pia meal and accomodation allowance? Msaada tafadhali
yake yaWana jf kuna ndugu yangu amekosa mkopo wa kusoma chuo kwa 2014/2015. Ina maana hatapewa pia meal and accomodation allowance? Msaada tafadhali
Samahani jmn kama. Umepewa hata 0% utaijuaje na ikiwa umeandikiw you are not secure for loan...coz mwaka huu sijaona asilimia...
Nisaidie hii s3228/0123/2011
Samahani jmn kama. Umepewa hata 0% utaijuaje na ikiwa umeandikiw you are not secure for loan...coz mwaka huu sijaona asilimia...