Aliyeelewa hii picha tafadhali anieleweshe

Aliyeelewa hii picha tafadhali anieleweshe

Mshuza2

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
11,555
Reaction score
17,947
FB_IMG_15068374477350915.jpg
 
Wanamuheshimu kiongozi kwa macho na ishara lakin akilini wanamtukana..... bila shaka inaendana na serikali ya nchi fulani ambayo kiongozi wao... anapenda sifa...
 
Miaka miwili iliyopita aliyekuwa waziri wa utalii katika nchi ya makinikia akisalimiana na faru chibuku..
 
Werevu wanavyomnyenyekea mshamba kwa sababu ya njaa zao..mfano prof kitila
 
si unaujua ule usemi wa "kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa"
ndo maana ya hiyo picha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom