Huyo mwanamke wa kuzaa naye, mtaenda wote labour? Yeye atazaa kwa njia ya kawaida, wewe utazaaje sasa?? Oh sorry kumbe kuna operesheni.
Nilipaswa kukuuliza hiyo mimba wewe utaipataje ili ukazae na huyo mwanamke aliye tayari kuzaa na wewe???
Mwalimu snowhite hebu kuja huku kuna mtu anataka kuongozana na wewe kwa mkunga


Kuna mahali Jukwaa la wakubwa nimeona picha, afu mwanadamu mmoja akasema ni yako.
Unatafuta inkyubeta?Mie ni mwanaume mwenye miaka 30, nahitaji mwanamke wakuzaa nae, awe mwenye umbo saizi ya kati, anaejielewa, mweupe wa asili, mrefu kiasi, aliye tayari kuzaa, umri miaka 25 hadi 30. Aliye serious ani pm
nimeona na mm sio mm alijiskia tu humu haujaona nimewatukanaKuna mahali Jukwaa la wakubwa nimeona picha, afu mwanadamu mmoja akasema ni yako.
Nimefadhaika sana, nimesikitika sana, nimesononeka sana.
Tatizo ni huu uwaziri mkuu??
Hapana, nilivoona tu umetajwa nikawa kipofu ghafla. Sikuona kilichoendelea.nimeona na mm sio mm alijiskia tu humu haujaona nimewatukana
Njo unisaidie kuwatuka na vikojoleo vyao uvibadili babuHapana, nilivoona tu umetajwa nikawa kipofu ghafla. Sikuona kilichoendelea.
Nikakusaidie kuwatukania vikojoleo vyao au niwabadili jinsia afu nihamishie utupu wao usoni??
Duh... vyote viwili?? Kweli wamekukera...Njo unisaidie kuwatuka na vikojoleo vyao uvibadili babu
Binadamu anajifungua hazai,Mie ni mwanaume mwenye miaka 30, nahitaji mwanamke wakuzaa nae, awe mwenye umbo saizi ya kati, anaejielewa, mweupe wa asili, mrefu kiasi, aliye tayari kuzaa, umri miaka 25 hadi 30. Aliye serious ani pm
OG babaKwenye weupe ujasema unataka upi??
Wakugushi au OG