Ha hahMkuu umeupdate pc yako lini?
Right click hiyo app imeyoandikwa program then click file location afu tuma screenshot
Huyo ndio atakua virus... maana hata publisher name haipo hapo kwenye list. Fanya ku-disable hiyo program..
Najaribu, Ahsante sana.Huyo ndio atakua virus... maana hata publisher name haipo hapo kwenye list. Fanya ku-disable hiyo program..
Then download avast antivirus kwenye pc yako, install... utascan then itadetect kama system yako iko infected then uta resolve hiyo issue
Ni free
Ok. Kama utakwama mahali karibu tujuzane zaidi.Najaribu, Ahsante sana.