Poleni na majukumu Wana jamvi , nimda Sasa tangu zilipotangazwa ajira za mifugo, hvyo tunategemea huenda mda si mrefu mkeke ukatoka wa kuitwa kwenye usaili, hvyo natamani nianze maandalizi mapema kama nitapata bahati ya kuitwa basi itakua vema , nakama sitapata yote mema. Hvyo naomba msaada Kwa aliye na sample ya paper zao za usaili,
Natanguliza shukrani zangu , ahsanteni sana
Natanguliza shukrani zangu , ahsanteni sana
