siasa ya maendeleo
Member
- Jul 29, 2015
- 47
- 14
Tanzania kwa sasa inaongozwa na Mungu aliye hai. Najua wengi watanibishia ila ngoja niwathibitishie hili.
Mimi ki itikadi ni chadema na ninatamani sana ukawa tuchukue nchi mwaka huu.
Kuna nabii ambaye anamwakilisha Mungu hapa duniani nani mkombozi wa ulimwengu wote. Wakati ukifika na umekaribia wote mtamjua na dunia nzima kwa ujumla ni zaidi ya T.B joshua na mtumishi yeyote yule ULIYEWAHI KUMSIKIA AU KUSOMA KWENYE BIBLIA. YESU alisema mkizishika amri zangu mtafanya makubwa hata kuliko haya. Huyu nabii alitutabiria mambo haya kuhusiana na siasa ya tanzania. Ilikuwa december 29 mwaka 2012.
1. Siasa itapamba moto katika nchi ya tanzania.
Serikali itajikuta pagumu sana kupitia bunge letu, na kutakuwa na bunge nje ya bunge.
2. Wanasiasa watasalitiana vya kutisha na kuvuliana nguo hata kuwachanganya wafuasi wao washindwe kujua mkweli ni yupi na mwongo ni yupi.
Huyu unabii alituambia unaendelea naama hata sasa unaendelea. Najua wengi mnaweza kubisha ila jambo usilolijua ni kama usiku wa giza.
Kwa nini nimekuambia haya mwana jamii forum?
Kwanza uwe mdau mkubwa wa amani na matokeo ya uchaguzi yatakapo toka uhamasishe amani na ujue huyu jamaa hajashinda kwa bahati mbaya na amechaguliwa na Mungu.
Ninavyosema hivi sijamaanisha kamanda wangu lowasa ndiye ameshinda ila nabii ninaye mwamini tayari alishasema kuwa Mungu alisha jichagulia wake.
Sisi kama wananchi tufanye wajibu wetu wa kupiga kura ila aliyekusudiwa na Mungu ndiye atatawala maana Mungu hana chama ila huangalia moyo wa mtu anayefaa na ndiyo anamweka kutawala.