Aliwaza nini huyu

Hivi wanyama nao huwa wanawaza?
 
Hisia ndio, lakini kuwaza sikuwa najua

Watu 10-2 acha kujitoa ufahamu wanyama na wadudu pia wanawaza yani ni sawa na mende vile awazavyo darini jinsi ya kupindua kabati la chakula halafu akifaidi chote ni mawazo ya mende hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…