Mr mgeni
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 1,222
- 810
Huyu mwanamke nimezaa nae,tuliachana kutokana na tabia zake chafu.Kwa hasira na kiburi chake tuliachana kwa maneno makali mno na kila mmoja akasika time yake.Aliondoka na mtoto akiwa ana miaka miwili.Hakuhitaji pesa kutoka kwangu kwaajili ya matunzo ya mtoto kisa Baba naMama yake wapo na wanahela nikaona sio shida,Mimi Kabwela masikini takua nimepunguziwa mzigo.
Imepita miaka miwili,bila mawasiliano kwani kutokana na hasira nilimsusa hadi mtoto.Nilikuja kugundua alikua akinifuatilia bila mimi kujua,wiki mbili kabla ya kuoa mke mwingine Ndio mambo yakaanza kuwaka moto.Sijui namba zangu alipata wapi nilipigiwa sim usiku kupokea akasema Mimi mama S,."Hivi we mwanamme ukoje"?mtoto ana miaka minne sasa hata kusema mtoto anaendeleaje hamna huyo Malaya wako amekuloga eeh!!Unategemea mtoto wako nanai anakulelea?hutoi hata matunzo ya mtoto!Na nikija huko huyo umbwa wako ulienaye atanikoma Njoo nyumbani umchukue mtoto wako.
Nilichomuambia ni kwamba nitamtuma mtu dada angu ajeamchukue!,.Akasema dada ako ndo alinitia mimba labda aje achukue kivuli."Nilikata sim,Alisndelea na message za matusi nyingi.Tangu tulivyoachana kwao sijawai kwenda na niliapa kwenda kwa sababu ya zarau zako.
Naombeni ushauri nifanye nini kwa huyu mwanamke na nini anachotaka kwangu Na ndo yangu mpya ipo hatarini kuvunjika anampa vitisho huyu mke nilienae.Sijui nifanyaje ndugu zangu.