Alishindwa kupata mtafsiri

Huyu ni wazi kabisa hajui kiingereza na anapenda tshirt zenye maandishi.Soko la mitumba mjini moshi lilihama toka kiboriloni na kuhamia uwanja wa kumbukumbu ya mfalme George (King George Memorial Stadium). Siku moja nikiwa kwenye soko hilo jipya kwenye kibanda cha tshirts alikuja kijana mmoja na kushikashika tshirt nzuri ilooandikwa 'Mortuary Attendant'. Aliinunua na kuishia zake!
 
Hahaaaaa mkuuu ungemtafsiria mjomba
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…