Alisema atarudi kabla ya October 29

Desierto

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
851
Reaction score
2,972
Mlisikia wote kwamba atarudi October 29 kama hataona mabadiliko.

Je? Tumsubirie na pia alijiamini vipi mpaka kutamka hivo.

Nawakumbusha tu lakini.
 
Kabla sijakujibu kwanza uniambie umezaliwa na ukoo wenye damu ya ccm ama, nieleze kwanza ili nikujibu tusije kuanza kujibizana badala ya kukujibu.
 
Sasa kama mkwara umepigwa na wenzake, yeye atakuwa na haja gani kujitokeza tena?
 
alikuwa kambi ya kimara sasa hivi amehamishiwa Dodoma makao Makuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…