Desierto JF-Expert Member Joined Aug 26, 2019 Posts 890 Reaction score 3,091 Oct 18, 2025 #1 Mlisikia wote kwamba atarudi October 29 kama hataona mabadiliko. Je? Tumsubirie na pia alijiamini vipi mpaka kutamka hivo. Nawakumbusha tu lakini.
Mlisikia wote kwamba atarudi October 29 kama hataona mabadiliko. Je? Tumsubirie na pia alijiamini vipi mpaka kutamka hivo. Nawakumbusha tu lakini.
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,264 Reaction score 14,502 Oct 18, 2025 #2 Kabla sijakujibu kwanza uniambie umezaliwa na ukoo wenye damu ya ccm ama, nieleze kwanza ili nikujibu tusije kuanza kujibizana badala ya kukujibu.
Kabla sijakujibu kwanza uniambie umezaliwa na ukoo wenye damu ya ccm ama, nieleze kwanza ili nikujibu tusije kuanza kujibizana badala ya kukujibu.
Kinumbo JF-Expert Member Joined Dec 8, 2019 Posts 3,189 Reaction score 5,818 Oct 19, 2025 #3 Sasa hiyo 29 imefika? Ama hujui maana ya kabla?
Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,634 Reaction score 12,340 Oct 19, 2025 #4 Kikubwa mrudisheni akiwa hai
Desierto JF-Expert Member Joined Aug 26, 2019 Posts 890 Reaction score 3,091 Oct 19, 2025 Thread starter #5 Mjusi Sharobalo said: Kabla sijakujibu kwanza uniambie umezaliwa na ukoo wenye damu ya ccm ama, nieleze kwanza ili nikujibu tusije kuanza kujibizana badala ya kukujibu. Click to expand... Nipo upande wa haki mkuu
Mjusi Sharobalo said: Kabla sijakujibu kwanza uniambie umezaliwa na ukoo wenye damu ya ccm ama, nieleze kwanza ili nikujibu tusije kuanza kujibizana badala ya kukujibu. Click to expand... Nipo upande wa haki mkuu
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 28,448 Reaction score 44,622 Oct 19, 2025 #6 Sasa kama mkwara umepigwa na wenzake, yeye atakuwa na haja gani kujitokeza tena?
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,264 Reaction score 14,502 Oct 19, 2025 #7 Desierto said: Nipo upande wa haki mkuu Click to expand... Vizuri, tarehe 29 kadi za upande wa haki zinapatikana uchafuzini, ujitokeze upate yako moja.
Desierto said: Nipo upande wa haki mkuu Click to expand... Vizuri, tarehe 29 kadi za upande wa haki zinapatikana uchafuzini, ujitokeze upate yako moja.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,631 Reaction score 193,596 Oct 19, 2025 #8 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw
TIASSA JF-Expert Member Joined Jun 17, 2014 Posts 3,111 Reaction score 3,999 Oct 19, 2025 #9 alikuwa kambi ya kimara sasa hivi amehamishiwa Dodoma makao Makuu
Izy_Name JF-Expert Member Joined Apr 9, 2020 Posts 1,061 Reaction score 2,555 Oct 19, 2025 #10 kumanisha nini mkuu? kuwa haitakuwa kama alivyotoa ahadi au? TIASSA said: alikuwa kambi ya kimara sasa hivi amehamishiwa Dodoma makao Makuu Click to expand...
kumanisha nini mkuu? kuwa haitakuwa kama alivyotoa ahadi au? TIASSA said: alikuwa kambi ya kimara sasa hivi amehamishiwa Dodoma makao Makuu Click to expand...