Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,030
Mambo zenu alowahi tumia hii lotion ya fair and white anipe feedback
Sawaaa
Ngoja Wanakuja
Mpka sasa hakuna hata aliyekuja pm mrembo ?Duh hakuna hata mmoja jaman till now
Nzuri sana...ndo nayotumia pamoja na shower-gel yake