Aliota anazaa

GHIBUU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
4,387
2,000
Bwana mmoja nchini Marekani alazwa hospitali hali yake imefika miaka 2 kutembea hawezi.

Chanzo alipata mualiko kwa muafrika katika shughuli ya mtoto wake, kulikuwa kimepikwa vyakula vingi, mgeni alivutiwa na muhogo wa nazi na samaki.

Baada ya kurudi kwake usiku amelala ameota anazaa, usingizi makelele, mkewe kupiga simu ambulance

Hata ilipo fika, yule bwana kumbe alikuwa anakunya, kitu kimetoka kigumu kiasi na damu damu, kumbe ile mihogo ya shughulini

Je wewe ushawahi kuota unazaa kumbe unakunya?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom