Aliondoka sasa ni miezi miwili

balibabambonahi

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
16,700
Reaction score
15,436
Alipoondoka kwanza alitukana saana,baadae akatuma Meseji kwamba amechoka karudi kwao.nashukuru Mungu kwa kuondoka,je,siku akirudi itakuwaje?
 
Hell no. Hii pia ni thread? You guys can't be serious. Dah
 
Yaani kuna mambo ya ajabu sn huku jf yaani analeta ctori kama yuko na familia yake seburen pyuuuuh
 
Hivi JF wana sera gani juu ya fursa ya kutoa thread kwa member wake?...
 
Hivi JF wana sera gani juu ya fursa ya kutoa thread kwa member wake?...
Unaweza andika lolote wakati wowote..........tena jukwa lolote...................na kumtusi yeyote............hata kama hakufahamu........................
 
Unaweza andika lolote wakati wowote..........tena jukwa lolote...................na kumtusi yeyote............hata kama hakufahamu........................
Asante mkuu!
Nilisham-disqualify huyu jamaa!
 
Aiseeeh! Samahani naomba nicheke kwanza kidogo! Kwa kwa kwa kwa kwi kwi kwi kwi ,he he he heeeee! Hahahaha! Unaota??!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…