Aliniumiza, halafu bado ananipigia simu

Sikushaur umblock,atatumia no.nyingine.Dawa ni kuachana na matumiz ya simu kabsaaa....tuone atakupgiaje.
 
Akipiga tena,mpatie mwanamke ulienae sasa apokee. Hatarudia tena kupiga huyo!
 
Vitu vingine vina epukika. Kwan lazima upokee cm yake?

Kukaa ni jibu zuri sana sema watu wengi huwa tunashindwa.
 
Kama kweli anakumiza mpige blaklist........ila kama bado unampenda endelea tu kupokea sim yk
 
mimi nilishapigiwa halafu anajifanya Gf wa best yangu baadae anachekacheka akaniambia mimi flani....nikampa jibu moja tu "huna ndugu wa kuwapigia simu" halafu nikakata kila akipiga sipokei akaniambia kwanini sipokei simu kwenye text nikamwambia its my phone vipi ulinunulia nini? mpaka leo kimya
 
Mmege tu kisela we sepa kama alivyo kufanyia inawezekana uko aliko kuwa kaachwa au una mafanikio ! [emoji108] [emoji39] [emoji126]
 
NISAIDIE UMRI WAKO ILI NIKUPE MAJIBU KUENDANA NA UMRI...IF POSSIBLE NA UZITO NA UREFU WAKO... DOZI ZINGINE ZA USHAURI ZINAENDANA NA UZITO PIA NA UREFU ILI KUJUA BMI (BODY MASS INDEX)... NAHOFIA KUTOA USHAURI AU DOZI INAYOWEZA KUKUDHURU MTUMIAJI.
 
Mmege tu kisela we sepa kama alivyo kufanyia inawezekana uko aliko kuwa kaachwa au una mafanikio ! [emoji108] [emoji39] [emoji126]

MBONA UNAMFUNDISHA KUWA MUHUNI?...AU HUJUI KUMEGA KISEALA NI UHUNI NA TABIA MBAYA?
 
Kama alikuumuza, sasa anataka kukuangamiza.

Akumuulikae mchana, usiku atakuchoma.

Kaa nae mbali.
 
hivi huyu ni mwezetu wa dar au wa mkoan?
 
Mtukane mara 3 uone kama atarudia!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…