Aliniumiza, halafu bado ananipigia simu

Amekumbuka ulivyokuwa unamgegeda hebu mrudie umpige tena kitu kizito afu unapotea
 
mteme jombaaa asilete ishu za kimashatu arifuuu uyo atakuwa alidanganywa na mtu katumika kakukumbuka wewe alivokuta kule sio alivotegemea
 
Unalalamika sana aisee. We mtoto wa kiume ujue acha hizo
 
Ushauri huu fuata, usipofanya inamaanisha kuwa na wewe mleta Uzi bado unammpenda na unammtaka tena
Hawez hakuna mwanaume atakae tafutwa na mwanamke akakataa hata ikiwa ana demu mwngne ila anaweza kujikumbushia pia
 
Uyasahau wapii unajibalaguza tu.
 
Dunia imekumbwa na Anguko kubwa La wanaume kunung'unika sasa hivi imeshakuwa sawa kwa mtoto wa kiume kulalama Mbele za watu tena alalamika si mchezo hata kwa jambo lisilo La maana, hivi Lijari kweli anashindwa kuwa na maamuz juu ya uyo binti mapaka uje usaidiwe mawazo kwa jambo dogo mama hili
 
Ungekuwa umeumizwa usingepokea simu yake, wewe umejeruhiwa tu na anakuchukulia kama boya wake that's why anakugeuza kama chapati. Komaa mtoto wa kiume onyesha uhalisia kwanini unaitwa mwanaume acha kbs kulialia hovyo kama kitoto kinachotaka kunyinya.
 
Badilisha number mkuuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…