Bacary Superior
JF-Expert Member
- Jul 3, 2014
- 3,722
- 1,511
Gharika
Kwa akili yangu timamu sitafanya huo ushetani lbd tu itokee kunyweshwa madawa ya usingizi au kubakwa na nilishanuwia atakaenifanyia ivo yeye na uzao wake utakufa umesimama wima km mti
Ni kumuomba mungu tu maana tunakoenda hapaeleweki kabisa kuna Uzi uliletwa mwanamke anamuona mwanaume mshamba kwakuwa amekataa kula jicho.Halafu wanaona kutoa hiyo ndiyo kupendwa kumbe ni kinyume chake.
Imefika hatua nawaza na ninaumia sana juu ya jambo hili pamoja na mapenzi ya Jinsia moja, sijui watoto wetu na vizazi vyao itakuwaje.
Mungu tunusuru.
Kapeace usiseme hivyo inaweza kutokea halafu waliokutenda ukabaki unawaona wanadunda. Kuna MZEE mmoja hivi aliwaona wenzao wanaopigiwa mimba watoto zao ni watu wasio na amri nyumbani na akaweka nadhiri zingine nzito tu sana ila ikatokea watoto wake wote wa kile walipigwa mimba na jamaa hakufanya chochote. Sema waloipiga mimba walibanwa na wazazi wao wakawachukua hao mabinti kama wake zao. Yule MZEE mpaka Leo husema usiseme jambo ambalo halijakukutaKwa akili yangu timamu sitafanya huo ushetani lbd tu itokee kunyweshwa madawa ya usingizi au kubakwa na nilishanuwia atakaenifanyia ivo yeye na uzao wake utakufa umesimama wima km mti
Lakini si huwa wanasema ukipata ushauri MTU unawez kuacha. Lakini haka katabia sio kazuri hivi unaachaje maku na utamu wake wote ule unakimbilia 0713 ama kweli huu ni ufirauni uliopitiliza kabisaAtaolewaa ilaa ndoa yakee haiwezi kua na amani..!! Maana atachepukaa akaliwee tigo
Inaonekana alianza at tens huyu MTU na hizi picha za ngono zinaharibu sana baadhi ya watu na wengine curiosity inawafanya waharibu future yao.Miaka 20 Bado mdogo sana mkuu na Hamna umri husika unaofaa kufanya ivo