Alinitoa uanawali wangu



acha uzinifu ... tulia na mumeo pu.mb.AV
 
acha umburula..juct concetrate wth ur hubby wew,kpnd unaolew uliamua kwa kutumia akil au kwa msismko tu ulokuw nao.,kwa hii mada yako inaonesha ni bnt usiyejtambua..kwann ushndwe kusema "nimeachana na wot na kuungan na huyu niliykuw naye"
 
Kama kweli mnapendana kiasi hicho kwanini msidai talaka, mkishapata mnaoana.
 
kama mkeo haukumkuta bikra basi jua umeoa mpenzi wa mwenzio
 
Achana nae huyo bwana ako mfuate uyo unaempenda ili nafsi yako iwe safi
 

Speechless, nini kiliwafanya muachane kipindi hicho? Kifanye kama sababu ili muendelee na maisha kama mulivyoachana.
 

www.youtube.com/watch?v=oygHmOm2UJ8
Waebrania 13 : 413.4 Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.
 
nyie ndio mnaolewa kwa mkumbo
 
inaonekana ulifanya haraka kuolewa wakati hukuwa tayari na maisha ya ndoa!

guys kama haupo tayari uolewa/kuoa huna haja ya kuharakisha na baadaye uje ufanye uzinifu.
 
daah, hili ni tatizo kwa wengi ila heri wewe uliyegundua na unataman kutoka humo...
1. msionane
2. kuwa karibu na familia yako..
 
mwanamke -------- atavunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe,nakuona kama na wewe ni mmoja wao
 
Nonsense! Usingeonjwa kabla ya ndoa ungemjuaje? Na hapa ndo chanzo cha matatizo ktk ndoa nyingi za leo. Kuonjana kabla ya baraka za Mungu kupitia viongozi wa dini. Hii kitu itatafuna ndoa nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…