Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

I like your story,,,the best couple in human life is only your mama and babies,,,nothing else!!!
wengi husema hivyo

but trust me..

things are quite different
human being is just human being

ipo mikasa ya mama na mtoto
ukisimuliwa wewe inaonesha utakataa huenda hakuwa ni mama na mwanae
Dunia Ina Mengi Mkuu..
 
Yani mimi nilipokuwa paragraph ya mipango ya harusi nikajua pengine siku ya harusi jamaa alimtosa bibie akiwa ndani ya shela kanisani kumbe alihama airtel tu na kwenda tigo?[emoji87]
Bora angefanya ivo angalau value ya kuanzisha thredi ingeonekana.
 
Nahisi una akili na mawazo kama yangu yaani demu akitiwa nikajua huwa siwezi kusahau hata nikiendelea nae ntaishia kumfanyia kitu mbaya hata kutafuna rafiki zake.!
 
Tatizo ulimpa OPEN CHEQUE.....Ni wachache walio wapa MADADA kusimamia MIRADI na wakapona katika USALITI....
 
Duuuh!!! Usifanye hivyo bwana, it ll hunt you.
Kama ameshakuumiza we fanya lolote litakalokuondolea nyongo.

Kuhusu kuumizwa kwa mara nyingine, we elewa mbuyu mkavu hautishwi ukame.
 
I cant revenge aisee.
Dah mimi sitaki shida na watoto wa watu ndo maana naepukana nao kabla ya kuanza kuwawinda.
Ukitaka uishi kwa amani usipende kuweka hisia zako chini ya mamlaka ya mtu mwingine.
 
Mimi (Ke) yalinikuta zaidi ya haya mpaka naletewa mwanamke ndani lakini niliondoka nyumbani na kumuacha, na nilikuwa ni mke halali wa ndoa. Sikuwahi kumfanyia chochote nilisamehe na kuendelea na maisha ingawa mpaka sasa hivi hatuongei. Sioni sababu ya kulipiza kisasi maana unaweza kujutia baadae. Unapotendwa inauma lakini chukulia tu kwamba haya ni maisha, kama wazazi wako wanakufa na unasahau sembuse mtu mmekutana ukubwani.
 
Asante kwa kutushirikisha, sahau yaliyopita, maisha lazima yaendelee, lea wanao, aliyekutenda ni mmoja usiwahukumu wanawake wote.
 
umejitahidi.....ila bado wewe ni muoga sana.....kumpeleka kote huko kumla jicho wakati hata dsm alikuwa nalo...ungemla hapa hapa dar....mwezi mzima.......then unamfire out akaendelee na kijana wake,,, hukuwa na haja ya kuingia gharama ya kubadilisha vitasa,,,, nyumba ni yako na bado hakuwahi kuwa mkeo rasmi,,, just blue & red no black & white.....gari ulimuachia??? achana na wasichana wa chuo,,, ugonjwa wa moyo kabisaaaa...
 
Dah mimi sitaki shida na watoto wa watu ndo maana naepukana nao kabla ya kuanza kuwawinda.
Ukitaka uishi kwa amani usipende kuweka hisia zako chini ya mamlaka ya mtu mwingine.
Aiseee!! So utatuepuka for the rest of yo life?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…