Alinisaliti nikagundua

Alinisaliti nikagundua

tatizo haeleweki kama ni mwanamke au mwanaume.
Atujuze gender yake isije kuta ni mambo ya Bruce Jenner aka Caitlyn

Hahahhaah umejitahidi kujua ni jinsia gani kwni vipi ukishajua so what??hahaha wew kama unataka kushauri shauri kam huna cha kushauri pita kimy kimy coz ukimchunguza bata hutamla tupa hapa kwa kushauriana na kupeana moyo sku zigange ukiangaika kumjua kila mtu humu si utakufa na kiholo 🏇🏇🏇💃💃💃
 
Kheeeee kwa hiyo asimchunguze ili asimle??? I never knew it before kama kuna mambo ya kulana😎
 
hyo mwenza wako anatakiwa kuearn back ur trust again and asikupe reasons za kumdoubt lkn jiangalia ww pia, huenda anajitahidi kufanya vyote hvo lkn ww bdo unachokumbuka ni usaliti wake tu so unamhisi kila wkt
 
Hahahhaah umejitahidi kujua ni jinsia gani kwni vipi ukishajua so what??hahaha wew kama unataka kushauri shauri kam huna cha kushauri pita kimy kimy coz ukimchunguza bata hutamla tupa hapa kwa kushauriana na kupeana moyo sku zigange ukiangaika kumjua kila mtu humu si utakufa na kiholo 

sawa!!!
 
hyo mwenza wako anatakiwa kuearn back ur trust again and asikupe reasons za kumdoubt lkn jiangalia ww pia, huenda anajitahidi kufanya vyote hvo lkn ww bdo unachokumbuka ni usaliti wake tu so unamhisi kila wkt

Yaah it's true wat you hv said thankx nmekuelewa ntafanya hivyo
 
toa fikra mbaya juu yake sahau ubaya wake jitahidi kuweka mawazoni mazuri yake na pia ikiwezekama kua naye mara kwa mara
 
Mother teresa alisema,"if u luv untill hurts there are no more hurts but only true love"...mpe nafac tena nadhan hataichezea tena,rudisha moyo mamy coz ata mbaya naye ana mazr yke na mzr ana mabay yke...
 
Msamehe kabisa kwn ukiendelea kukumbuka yatakumiza, maisha yenyewe haya mafupi. Trust yourself na pia umwamini yeye pia.
 
Back
Top Bottom