hahahahah asante saana kwa ushauriiachana nae mazima wanaume tupo kibwenaaaa
kuwa moto au baridi...sio mara umesamehe mara bado
Umeanza tena! Je una experience? Kwa kukusaidia lazima ujenge imani katika akili yako kuwa kateleza hatarudia tena na muwe wazi na simu zenu muondoe passwordMmmmh!! Huo uhusiano tayari una dosari, things ll never be the same again, alishaivunja trust ulokuwa nayo kwake hivyo haiwezi kurudi, usaliti kwenye mahusiano/ndoa ni boooonge la doa, haitoki hata kwa jiki.
shemale!!
Act your age.
You sound 22.
Amini kuwa hutosalitiwa tena ili uishi kwa aman
Wewe ndiye unayemfahamu mpenzi wako A-Z ndiyo maana hata ukamsamehe, sasa sisi hata wewe mwenyewe hatukujuwi tutakushauri nini zaidi ya kukuchanganya tu.
Mf: Jasiri haachi asili, hujawahi kukuta wazee wazima vito.mbi mtaani watoto wa watu hawalali, sembuse na huyo kijana wa miaka 31 bado kabisa damu inachemka!
Samehetu yote mapito
Kama unampenda msamehe na uishi nae, ipo siku ukweli utatoka tu kama bado anaendelea na usaliti wake ila usisahau cheaters are always cheaters...
Act your age.
You sound 22.
kabisaa thou bt am sure it take atime to trust him again wallahMmmmh!! Huo uhusiano tayari una dosari, things ll never be the same again, alishaivunja trust ulokuwa nayo kwake hivyo haiwezi kurudi, usaliti kwenye mahusiano/ndoa ni boooonge la doa, haitoki hata kwa jiki.