Sasa ukimpa lifti kijana aliekusaidia kusukuma gari ndo usicheke nae? Huyo mwanaume azidishe kucheka na kutia stori na mkewe wakiwa kwenye gari. Kama wewe ukiwa garini na mkeo unanunaaa kwa vile unamuona kama afande kova (sadly kuna mijitu inajisifia, eti tutaongea nini sasa!!), wenzio they still find a humour in her jokes,lol