Acha kudanganya watu wenye akili zao eti umemharibia.Sasa kama umemharibia kwa nini usiseme ulichokifanya kama sio kuendekeza ushirikina?Kwa maelezo yako tu ulienda kwa washirikina wenzio unless utuambie ulimharibia vipi."samehe 7 mara 70" ni rahisi sana kuandika na kuutamka mdomoni ila ni vigumu kuutekeleza. binadamu tumeumbwa na kitu kinachoitwa kisasi. siku yakikukuta utaelewa namaanisha nini mkuu
hakuna mtu aliebaki upande wake zaidi ya mkewe. watu wote wamemkimbia wanamuona jamaa kawa kinyesiUmetumia njia gani mkuu? Halafu hapo amebaki na "mkwewe"???
samehe
Kijana mwezangu tulikuwa tuna mpango wa kufungua biashara pamoja ila mwisho wa siku akajifanya mjanja akachukua mtonyo wote akafungua biashara kwa jina lake akanikana. Nilijiona fala maana nilikuwa sina uthibitisho wowote kama tulichangia baishara, nilimuamini kupita maelezo coz tulitoka mbali.
Kwakweli aliniacha vibaya, kiaina nikashukuru Mungu, nikasema siendi kwa mganga wala vyombo vya sheria, nitatumia akili yangu ya kuzaliwa kumkomesha. Nimemfanyia figisufigisu kwenye biashara zake sasa wateja wote wamemkimbia. Biashara 1 amefunga hii nyingine mda si mrefu ataifunga vilevile maana anauza kimoja kimoja.
Jamaa asomeki kwa sasa afya mgogoro amekuwa mtu wa mawazo mawazo hawara amemkimbia amebaki na mkewe tu kwenye shida zake. Wakuu nimefanya vibaya kumharibia mtu kama huyu kumbuka aliniacha vibaya, nimefanya vibaya kumharibia?
Mwaga ugali namwaga mboga ngoma drooKwa hiyo kwa kumuharibia yeye, wewe umefaidika vipi Kimaisha? au ndio "bora tukose wote?"
Kumbuka sio kwamba namtetea huyo mzulumaji
Nakumbuka miaka mingi nyuma... Nilikuwa na rafiki yangu... Ndo nlikuwa naanza maisha nakaa kwa bro... Sehem ya kwa bro ndogo... Rafiki yangu yy alikuwa na chumba analipla 15000 kwa mwez, chumba kikubwa na hakuwa na vitu vingi kwake. Alikuwa na kagodoro kagodoro kadogo kama ulimi.
Mungu alini bariki na vicent. Nkanunua godoro la kuanzia maisha kwa hela yangu laki na themanin.. Sina pa kuliweka nkasema mwana we unalala kwenye ka godoro kadogo hili weka kwako tumia ila ntunzie.. Kipindi hicho homethieta ndo zinaingia nkaenda nkanunua nkasema rafiki yangu ntunzie.. Sababu yy alikuwa tu nyumban nkapata kama mtaji wa laki nane.. Kipindi hicho sim xa mkonon ndo zinaingia.. Yy na vijana kama 3 nkawa nanunua simu kariakoo kwa sh 23000 wanasafirisha kupeleka tanga na yeye anauza kwa sh 35000 mpk 40000.. Ivyo biashara ikiisha tunatoa hela ya mzigo na faida tunagawana.
Awamu ya kwanza ilienda vzr na faida nzur na hela yake nkampa..
Awamu ya pili nkaenda nae kariako akayajua machimbo.
Alivyoondoka ndo sikupata hata sumni. Nilidhurumiwa vyote vitu vya ndan na mtaj na faida...