Habari zenu wanajamvi?
Nilikuwa na mchumba yeye alikuwa anasoma chuo nilikuwa nimehitimu mafunzo ya computer kwa bahati nzuri nikapata ajira kwenye shirika fulani,tukakubaliana tuvumiliane hadi atakapo maliza chuo.
Mimi wakati huo tukawa tunawasiliana akija likizo tunakutana, lakini baadae kaniambia kuwa yeye anataka kuzaa mimi nikawa ninamkatalia kutoka na sababu alizokuwa anatoa kuwa kuja kumaliza chuo miaka itakuwa imeenda sana.
Ikabidi nimkubalie lakini cha kushangaza nilivyobeba mimba nikaugua ikabidi niache kazi nikae nyumbani nikaona mwenzangu amebadilika mawasiliano yakaanza kupungua nilivyojifungua.
Mwenzangu hata hela ya matumizi ya mtoto hakutuma hata senti, lakini cha kushangaza nilivyorudi kazini akaanza kujisogeza mara nitumie vocha mara naomba hela.
Hapa alipo amemaliza chuo hata hajawahi kunitumia hata hela yoyote. Mimi ndo namtunza mtoto peke yangu nyumbani hata hajawahi kuwaambia kuwa ana mtoto.
Mimi aliniapisha kuwa nisije nikawambia ndugu zake kuwa ana mtoto ingawa tunawasiliana na ndugu zake.
Je, huyo mwanaume anampango na mimi kweli au ananifanya kama kitega uchumi kwake akipa ajira ananipotezea.