aliniambia nichague mawili


Asnam. Twende tukachagua mwenzangu tufunge pingu za maisha usife kabla hujatoa nuksi kama wadada wengine. Asikudanganye mtu kuolewa dili. Si umesoma mwenzio anavoogopa aibu ya karne.
Pole sana bi mdada mleta mada, God will change him, believe in him and let him reign.
 
Kuna watu na viatu, hakyi ya mungu unauma ukiwa na roho nyepesi unaweza choma mtu kisu
 
Mtu keshakwambia hakupendi tena unajiuliza uliza? Aliacha kukupenda alipokutana na jamaa ambaye kimsingi kakupiga gap kwenye ishu nyingi. Tena shukuru mungu alikuambia. Hata mi huwa nafikiria inabore sana kuishi na mtu/demu mmoja kwa maisha yote yaliyobaki!!!! Ukipata atakayeonyesha anakupenda sana kapimeni endelea na maisha!! Kwamba wewe bado unampenda kumbuka kuwa kwake haihusu. Unamboa tu!!!
 
Pole xana dadangu nachoweza kukushauli nikwa hakuna binadam asiyependa upendo ktk maisha hivo bas endelea kumuonesha upendo huku ukimuomba mungu atabadlika.
 

hizo pingu naziogopa kama ni nuksi mi nyota yangu inang'aa ikizima ntakutafuta.
 
hizo pingu naziogopa kama ni nuksi mi nyota yangu inang'aa ikizima ntakutafuta.

Mmmm, imeshaanza kufifia, anza tu kunitafuta usije ukaja hapa na thread ya kutulaumu wakaka humo, mara oh ni maselfish, hatuwapendi, tunawagegeda sana. Sisi tufanyeje sasa!
 
Mmmm, imeshaanza kufifia, anza tu kunitafuta usije ukaja hapa na thread ya kutulaumu wakaka humo, mara oh ni maselfish, hatuwapendi, tunawagegeda sana. Sisi tufanyeje sasa!

utaniona hapa nalalamika kuhusu mengineyo,lakini kuwalaumu uselfish kisa sijapata wa kuniwowa:mmph: never ever hayo ni majaaliwa ya muumba.
 
 
 
utaniona hapa nalalamika kuhusu mengineyo,lakini kuwalaumu uselfish kisa sijapata wa kuniwowa:mmph: never ever hayo ni majaaliwa ya muumba.

Mwambie Platozoom yupo kwa ajili yako,akutue
 

Joda unajua nime-notice kitu, sisi Wanaume tumetofautiana lakini kuna jambo moja lipo; Kuna baadhi ya makosa
yanatufanya tusisahau tuliyofanyiwa (hasa na mwanamke) hata kama tumesamehe nafikiri pengine yupo kwenye hiyo situation, na kadri mlivyokuwa mnakorofishana ndivyo ile picha inakuja. Na kibaya zaidi (Watu wa saikolojia wanaweza elezea hili) Unapozidi kuwa karibu yake ni kama unazidi kumsukumia mbali kama ambavyo ukimkuta mtoto analia kwa kujikwaa ukimbembeleza ndivyo anavyoongeza kilio.

Hilo la kusema hakupenda ndoa nafikiri ni nyongeza tu ya lile ulilolifanya, kuna Watu ni sensitive kwa mambo fulani
unaweza kushangaa.

By the way umri bado unamruhusu ndiyo maana anasema hivyo, kadri utakavyoyoyoma ndivyo atakavyoona
umuhimu wa kuwa na Mke, na wakati huo zile mbwembwe za ujana zitakuwa zimekata. Mpe muda na usishughulike
naye kwa sasa.
 
heee mbona kazi jamani kwani kosa lipo wapi maana thred yako hujata tatizo ni nini?
 

Ok sasa nimekuelewa kwa sehemu, kumbe chanzo cha tatizo ni wewe mwenyewe, ingawa haujasema exactly ulimkasirisha kivipi! Ila ninachoweza kukushauri kwa sasa, maana inaonekana wazi kuwa uko tayari kuvumilia, basi endelea kuvumilia na kuonyesha kujutia kwa kosa ulilolifanya. Jitahidi kujua vitu gani mumeo anavipenda na capitalize katika hivyo.

Endelea kumjali, kumpenda na kumheshimu huku ukimuomba Mungu mguse ili moyo wake wa upendo ugeuke tena na kurudi kuwa wa zamani. Kwa sasa unachotakiwa kukifanya ni kujua wazi kuwa unaingia kwenye zoezi la kutenda na kuishi maisha yanayoweza kumshawishi mwenzio abadili mawazo, nothing more!

Nakutakia kila la kheri,

HP
 
Daa sina cha kusema. Mungu akutie nguvu mami.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Jamani dunia ina mengi. Pole dear manake hata sijui cha kusema zaidi. Mungu akusaidie tu ndugu yangu
 
Katika jambo ambalo huwa nawakubali wazungu basi ni hapa kwenye masuala ya ndoa, wakati wa kufunga ndoa huwa hawaambiani hadi kifo kikutenganishe au huyu ndo wa kufa na kuzikana na hapo ndo tulipokosea siye waswahili na hizi dini zetu za kuiga. Na hizi jamii ndo zinatuponza, ukioa ni kama jamii ndo imeoa wakati mateso unayapata peke yako. Yakikushinda achia ndoa maana hata ukifa wanao watalelewa na hao unaowahofia. Kuanza upya siyo ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…