Kwa huu uandishi inaonekana wewe ndio unamsumbua wakati yupo kwa mumewe.Inaumiza sana..!!
Nilikua naanza kazi by then nikiwa na kababy kangu small 5 kwa kimo chake,nilimpata wakat npo form 3 na yeye form one,ni miaka takribra 8 imepta tangu animwage,nilimpenda sana kimwana hyo,naye alikua ameajiriwa kipindi hcho,lakin ghafla akanitupilia mbali na ghafla nikasikia anaolewa na jamaa mwngine aliyekutana nae kazini,wiki mbili zimepita ananitafta na kudai nimsamehe na anajutia kuolewa na jamaa,Wana mtoto mmoja na Nina mke na watoto pia,nilikata tamaa nae lakn amerudi maishani na anataka azae na mm..!!! Naombeni ushauri nimgegede au nimkaushie???
Hahhahahaaa tapeli hahaha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Epuka matapeli
Muimbie wimbo wa DDC Mlimani Park siukumbuki jina ila una maneno yasemayo "...hukusikia mawaidha siku ya ndoa yetu"Inaumiza sana..!!
Nilikuwa naanza kazi by then nikiwa na kababy kangu small 5 kwa kimo chake,nilimpata wakati npo form 3 na yeye form one,
Upuuzi mtupuInaumiza sana..!!
Nilikuwa naanza kazi by then nikiwa na kababy kangu small 5 kwa kimo chake, nilimpata wakati nipo form 3 na yeye form one, ni miaka takriban 8 imepita tangu animwage, nilimpenda sana kimwana huyo, naye alikuwa ameajiriwa kipindi hicho, lakini ghafla akanitupilia mbali na ghafla nikasikia anaolewa na jamaa mwingine aliyekutana nae kazini.
Wiki mbili zimepita ananitafuta na kudai nimsamehe na anajutia kuolewa na jamaa, Wana mtoto mmoja na Nina mke na watoto pia
Nilikata tamaa nae lakini amerudi maishani na anataka azae na mimi..!!!
Naombeni ushauri nimgegede au nimkaushie?