mzee wa kijiwe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 947
- 690
Tundu Lissu, ni kati ya wanadamu watakaoingia kwenye historia ya ulimwengu,
Wataalamu wanasema huwezi kumwaga damu nyingi kiasi kile na bado ukaishi, Lisu alitakiwa awe amekufa kwa kuvuja damu nyingi, idadi ya mishipa ya damu iliyosagwa sagwa na tisasi, haikuwa kawaida kuweza kuzuia blood bleeding ya ndani na nje ya mwili, alipoona VP? Huu ni muujiza,
Asilimia kubwa ya damu aliyonayo Lisu Leo, sio damu yake, ni damu ya marafiki zake, ni damu ya makabila mengi, jinsia zote, na hata mataifa mbalimbali, huu nao ni muujiza, kwamba Lisu anashea blood na watu wengi sana
Damu ya Lisu ituunganishe
Hongera Tindu Lisu kwa kutimiza miaka miwili
Muujiza unaotembea