ALIMFUKUZA JOYCE NDELICHAKO ANAJISIKIAJE LEO N WAZIRI WETU WA ELIMU...

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,580
NI MUHIMU KUMWAMINI MUNGU NAPIA KUJIAMINI PIA...UNAPOONA MAAMUZI YANALIUMIZA TAIFA KUFURAHISHA WACHACHE KIMBIA KAMA HUYU MAMA YETU

MSIOJUA ALIGOMA KUDIRIKI KUFANYA UHAINI WA VIWANGO VYA ELIMU LEO TULIVYONVYO LEO HII TUNAFAULISHA MAELFU WANAENDA KUSHINDWA KUENDELEA FRM V TENA KWAKUKIMBIA SHULE WENYEWEE

HIVI ALIEMFUKUZA HUYU MAMAA AIBU YAKE ANAIBEBAJE LOH

NB

MAMA TUNAOMBA RUDISHA VIWANGO VYA KUFAULU VYAZAMANI
 
Kama

Kama ulitaka kusema kuwa jk alimfukuza ndalichako utaluwa umekosea sana,jk alimlinda ndalichako na akampa sabatical leave aliyoitumia kujisomea na kuongeza elimu tena kwa kulipiwa na serikali,jamani si vyema kumsingizia kila mabaya jk huo sio ustaarabu
 
NI MUHIMU KUMWAMINI MUNGU NAPIA KUJIAMINI PIA...UNAPOONA MAAMUZI YANALIUMIZA TAIFA KUFURAHISHA WACHACHE KIMBIA KAMA HUYU MAMA YETU

MSIOJUA ALIGOMA KUDIRIKI KUFANYA UHAINI WA VIWANGO VYA ELIMU LEO TULIVYONVYO LEO HII TUNAFAULISHA MAELFU WANAENDA KUSHINDWA KUENDELEA FRM V TENA KWAKUKIMBIA SHULE WENYEWEE

HIVI ALIEMFUKUZA HUYU MAMAA AIBU YAKE ANAIBEBAJE LOH

NB

MAMA TUNAOMBA RUDISHA VIWANGO VYA KUFAULU VYAZAMANI
Hakufukuzwa.....Alienda 'sabbatical leave'
 
Back
Top Bottom