ahahahhaha unataka nikueleweshe ipi
zenye pingili pingili kama muwa
au zenye kona kama za msambiazi?
au zile zenye low head za kimasai lol!
Kongosho na
King'asti njoeni hapa mtoto wenu anataka madarasa mengine mi naona kazi kuanza kufungua makbrasha yangu bana!