Alikuwa kipenzi cha wananchi wake.

Yaani unamaana kuwa misafara yake ilikuwa ni ya baiskeli au?
 
Kwani alikuwa anaenda wapi na baisikeli?
 
Alikuwa akielekea shambani.
 
Haji kutokea mwingine kama huyu. Maana aliacha gari akaamua kutembelea baiskeli
Alikua hapendi makuu kiasi hata hakujifunza kuendesha gari. Halafu sikumbuki kama jkn aliwahi kua na motokari yake binafsi.
 
Viwanja vya ikulu hapo anafanya mazoezi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…