Alikuwa handsome ila

Alikuwa handsome ila

kwa alikukataa?
au alikusaliti?
 
Mwanaume alipendwa na wengi naalikuwa anatesa wanawake .
Muda mwingi ni starehe na wake zawatu naalikuwa ananunuliwa vitu na wamama wawatu kila mahali anamke wake amezalisha wengi.
Kazi mara nyingi inamsumbua kisa hayupo makini kwa wanawake za watu.
Ila fahari yake wadada tu na wake za watu ila mwisho mmbaya siku moja alikuwa natembea barabarani ameshachuja naalikuwa kalewa hakuona gari lilikuwa linakimbia kwa kasi akapita.
Likamgonga ndio mwisho wake .
Je hii inatufundisha nini katikaaisha haya kila kitu unachotesea watu itafikia mwisho wake tu.
Nahabari yako itakuwa zilipendwa.
Have a great time
Rudi shule ukapate elimu.
 
Have a great time[/QUOT
Hajagongwa na gari umedanganywa...
 
Back
Top Bottom