Alikuwa handsome ila

Alikuwa handsome ila

Mi nakukubaligi sana ukija na ile ID yako tuliyoizoea we mwenyewe unajua..
 
inatufundisha na wewe ulimtamani marehemu kabla ya umautii...
Mwanaume alipendwa na wengi naalikuwa anatesa wanawake .
Muda mwingi ni starehe na wake zawatu naalikuwa ananunuliwa vitu na wamama wawatu kila mahali anamke wake amezalisha wengi.
Kazi mara nyingi inamsumbua kisa hayupo makini kwa wanawake za watu.
Ila fahari yake wadada tu na wake za watu ila mwisho mmbaya siku moja alikuwa natembea barabarani ameshachuja naalikuwa kalewa hakuona gari lilikuwa linakimbia kwa kasi akapita.
Likamgonga ndio mwisho wake .
Je hii inatufundisha nini katikaaisha haya kila kitu unachotesea watu itafikia mwisho wake tu.
Nahabari yako itakuwa zilipendwa.
Have a great time
 
Inatufundisha kuwa makini wakati tukiwa barabarani....
 
Samahani lakini sio nakuuliza kwa ubaya hivi wewe ni mzuri kama huyo kaka hapo au ni wale mkisema mkutane unaagiza pombe kikali badala ya maji
 
Back
Top Bottom