Aliko Dkt. Fenela Mkangala

Aliko Dkt. Fenela Mkangala

AKASINOZO

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2016
Posts
1,367
Reaction score
2,219
Wasalamu wana Jamvi ...

Naombeni kujuzwa yu wap mama mbobezi kiwango cha PHD.Dr Fenela tangia uchaguzi wa mwaka 2015 yupo kimya kingi sana.

Je mama akubaliani na slogan ya awamu ya 5 ? mbona hii awamu ni yawenye Dr(phd) ,je mkulu kuanza kurudia walitemwa hajamwona huyu mama kunani ?

Mamaa jitokeze tumemic madini yako na utupe mwenendo wa nchi..

[HASHTAG]#Mnyika[/HASHTAG] sio mtu mzuri# kumpoteza mama yetu#
 
1485118319247.jpg
 
Hahahaaaa...huyu mama dereva boda boda walimfanyia kitu mbaya sanaaa ..
Alikuwa anawagawia vizibao vya "nani Kama mama" katika kampeni za mwaka Jana lakini cha ajabu hawakumpigia kura ..teh teh teh!!
[HASHTAG]#dereva[/HASHTAG] pikipiki wote wa
-goba
-matosa
-tegeta A
-njia nne(goba)
-king'ongo
-kimara
-kibamba
-mpiji magohe
-kwembe
-msumi
-mbezi louis
-makabe .....
Na mimi mwenyewe hahahaa
MUNGU ANATUONA UJUE ..!!!()
Wema woote aliotufanyia wa kutupatia vizibao nk lakini bado tukamtosa! Yeuuuuuwii
 
Name UOTE="IKWETE, post: 19416398, member: 194322"]Umeniwahi[/QUOTE]
Na Mimi pia nataka kujua hilo! Mama was twende kilioni wala hana gharama!
 
Daa huyu mama nampendaga na Msuko wake wa sh. 800/= tuu
Nilikuwa simjui. Huku Mbezi kuna siku nikakuta mkusanyiko wa watu jau, kusogea karibu! Kumbe mama anagawa REFLECTORS kwa waendesha Boda boda kabla ya upigaji kura mwaka juzi! Reflectors ziliandikwa NANI KAMA MAMA!
 
Back
Top Bottom