Mohamedy cadinaly
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,453
- 2,224
Wanifurahisha weyeDiamond tyu ndo ana hela za kununua views lakn wasanii wengne hawana??? Bac Diamond ana hela
Wanifurahisha weyeDiamond tyu ndo ana hela za kununua views lakn wasanii wengne hawana??? Bac Diamond ana hela
Wasanii wengine hawana hiyo elfu 50... Wanunue views?? Zilipendwa mlipoizidi hamkusema hayo... Na sasa hv seduce you imepitwa na zilipendwaTunamaanisha unamnunua IDD ma computer Wa Sinza kwa Tsh 50,000/- anakutengenezea robbot App kwenye computer kwa ajili ya fake views.
Ebu iangalie hii.Ahaa kwa hiyo umekubali kuwa Ukitaka views nyingi nenda YouTube kawaida, na ukitaka real views nenda VEVO
Teh teh.....watu huwa hawajibu maswali....teh teTunamaanisha unamnunua IDD ma computer Wa Sinza kwa Tsh 50,000/- anakutengenezea robbot App kwenye computer kwa ajili ya fake views.
Kama wewe ulicyoharibiwa akili na domo...Mange anawaharibu sana akili.
Mange anawaharibu akili.
Wiz Khalifa hayupo Vevo na See You Again (Tribute ya Paul walker) ina viewers 3.1Bilion na kaingia Guiness World Record nini Vevo?!
Enjoy good music....
Ukiwa na demu wako chumbani huwa haku seduce mkuu?Alikiba una "Mafansi" wajinga wajinga sana. Akili zao ni Za kushikiwa na Mange.
NI AIBU KWA KIJANA RIJALI KUOMBA KUTOMASWA TOMASWA (seduce me). Ni viashiria vya Tabia Chafu.
Huwa simuombi anajua wajibu wakeUkiwa na demu wako chumbani huwa haku seduce mkuu?
Alikiba yuko VEVO account wakati Diamond yuko YouTube kawaida. Mastaa wengi duniani wako VEVO account ambako huwezi kununua views au kuchezea views (robotic views). Msanii hulipwa pesa kwa views anazopata. Kama kweli Diamond hana kamchezo kachafu anakofanya kwenye views basi aje VEVO. Na kama atabaki huko basi kamwe asilinganishwe na alikibaVEVO, kwa sababu hiyo itakuwa sawa na kulinganisha Dispensary ya kijijini na Hispitali ya Rufaa.
Akikuonesha mahaba ndio ku seduce kwenyewe hukoHuwa simuombi anajua wajibu wake
Kwa hiyo ukiona kiingereza tu unaamini sio? Au unataka kuhalalisha fake views za Domo?unawashwa ww nani kakuambia Vevo viwers hawanunuliwi
YouTube slashed 156 million views from Lady Gaga’s VEVO channel this week. The move comes exactly one month after the video-sharing site, owned by Google, stripped the cumulative view counts of channels belonging to Universal Music Group (UMG), Sony/BMG, and RCA Records by more than 2 billion views.