Niliwasikia Mwaka 1995, niliwafuatilia rasmi kuanzia mwaka 2007 kupitia magazeti ya Rai yenye kichwa cha Habari ifahamu freemanson na mkakati wa kutawala dunia..Mkuu kwa mambo unayoongea hapa nina mashaka hata kama uelewa wako juu ya freemasons ni wa uhakika.
Watu wengi wanadhani freemasons sawa na kwenda kwa mganga wa kienyeji, magazeti ya shigongo yamepotosha jamii sana.
Hawa freemasons nimeanza wasoma way back 2003 hata tz hawajawa famous.
Diamond aliomba msamaha tena wa kiutani utani kwenye ukurasa wake wa insta, Ngwajima akaja sema ana video zake diamond akamjibu kuwa kama anazo azipost asipozipost basi atakuwa mchungaji muongo.
Usiamini kila umachoskia Ngwajima alishawambia watu atamrudisha Amina na wakaamini je alirudi?
hiyo robot App unatengenezaje??inaletaje fake views?nipe pseudo code yake mkuu tafadhaliTunamaanisha unamnunua IDD ma computer Wa Sinza kwa Tsh 50,000/- anakutengenezea robbot App kwenye computer kwa ajili ya fake views.
Na kweliiMange anawaharibu akili.
Wiz Khalifa hayupo Vevo na See You Again (Tribute ya Paul walker) ina viewers 3.1Bilion na kaingia Guiness World Record nini Vevo?!
Enjoy good music....
Its truemond hajakimbia vevo, kumbuka yy ndo aliwah kuwapa somo wasanii wa tz jins ya kunufaika na vevo(km hufatilii mziki hutojua hili) na ni mond ndo anaongoza kuwa na wimbo wenye views nying kuliko msanii yyte EA, marry you ina 16m. Ila mfanya biashara yyte ukiona ki2 hakina maslah cdhan km utajishughulisha nacho, youtube channel yake ina subscibers laki 7+ unahitaj aendelee kung"ang"ania kupandish video vevo?? inahtaj akili ndogo sana kulielewa hili. Watanzania(hasa mashabk wa Ally kiba) huwa wana maneno kuliko kusapot kaz, seduce me iliiacha mbal sana zilipendwa ila kaangalie ss hiv hizo kaz halaf uone ipi ina views kibao. wcb fans wanakimbiza mwiz kimya kimya
Yan wameng'ang'ana na hiyo vevo kwelii wameharbiwa akiliMange anawaharibu sana akili.
Yaani muomba lift (collabo/feat) anamcheka mwenye gari lake.Yaani mtu kasimama kwa kushikwa mkono, mwingine kasimama mwenyewe, aliyeshikwa mkono mnataka tumuone yuko imara zaidi kuliko aliyesimama mwenyewe??
Hapa hata punguwani atashangaa...!!!
We jamaa unaandika mengi lakini yenye maana 1%.Niliwasikia Mwaka 1995, niliwafuatilia rasmi kuanzia mwaka 2007 kupitia magazeti ya Rai yenye kichwa cha Habari ifahamu freemanson na mkakati wa kutawala dunia..
Pia internet na vitabu vyao og vya siri hard copy. Havitolewi hadharani.
Internet Ina mchanganyiko WA conspiracy and bunches of lias. Unaweza kudanganyika sana.
Anyway sio lengo langu kujitutumua hapa.
Najua wengi ukisema masoni wanawaza kupata pesa na kutajirika. There is a price to pay. Hata wao wanaonya usiende kujiunga ukitaka kupata pesa.
Cha msingi Pesa zote za mazingaombwe, hupewi bila kua na source of finance. Lazima uwe na mradi unaoonyesha kua ndio chanzo cha kipato chako. Kupitia mradi, ndipo utakaotumika Kama chanzo cha Pesa na utajiri.
Utaonekana unafanya kazi Kama wengine lakini tofauti yako na wengine, wewe utafanikiwa kuliko wengine. Kwasababu wanachama wanatakiwa kua WA siri(secret society). Ila kwasababu mbalimbali wanajikuta wakifahamika waziwazi. Mwishowe Wanabaki Kua branded as society with secrets.
Mondi alimuomba gwaji msamaha kwa kumtaja.
Gwaji akasema amemsamehe.
Na kwamba hatasema tena jinsi Dai alivyojiunga na masonic.
Dai akawajibu mashabiki zake kua wamwambie alete huo ushahidi(NotaBene:-,hakumwambia Gwaji directly) Bali Dai aliposti kwa mashabiki na Critics wa wake.
Na hapa Gwaji hakujibu tena. Which means haimuhusu.
Kwasababu Gwaji alikua anasubiri aambiwe direct ili abonyeze kitufe cha double manifestation. It didn't happen anyway.
Probability.
Kama Dai aliwasiliana tena kwa siri na Gwaji na ku-apologize, no one really knows.anything is possible.
Lakini Critics walipaswa kuhamia tena kwa Gwaji kwenda kumuambia kile Dai anakijibu kuhusu yeye Gwaji kwamba hawezi kutaja
Lakini haikutokea.
Kuhusu Eric shigongo.
Mimi sio fan wa huyu MTU wakati wowote ule katika maisha yangu Lakini namheshimu sana kupitia sifa nzuri nilizowahi kuzisikia kuhusu kazi zake za utunzi wa hadithi za novels, japo sijawahi kusoma hadithi yake yoyote ile. Na muda unavyoyoyoma sioti kuja kusoma chochote tena.
Nina uhakika haujamtaja bure, kuna kitu kuhusu yeye unakikubali. Lakini siwezi kuonyesha kumdharau kwasababu hajanikosea. Kwangu Mimi , he's a working hard person.
Asante, alimradi sijapata ZerO.We jamaa unaandika mengi lakini yenye maana 1%.
Any way kila mtu na mtazamo na uelewa wake.
yeah sijui but nimefanya assumption za kawaida, hesabu ya kawaida tu Diamond videos hallelujah,history,eneka, fire(gharama kwakuwa wewe unajua how things work kadiria), Ali Kiba Seduce Me ngoma moja, sasa katika akili ya kawaida nani ametumia gharama kubwa hahahah, uwe unasoma vizuri kabla ya kuandika essay za ujuaji mwingi na uongoSo man, don't talk about costs kwa sababu unaonekana hujui how these things work!
We jamaa wa wapi wewe?! Hallelujah, History, Eneka na Fire ni ngoma 4 tofauti; sasa unalinganishaje gharama ya video 4 na video 1 ?! Au hata ukitengeneza video 4 mapato yake yanakuwa ni ya video 1?!yeah sijui but nimefanya assumption za kawaida, hesabu ya kawaida tu Diamond videos hallelujah,history,eneka, fire(gharama kwakuwa wewe unajua how things work kadiria), Ali Kiba Seduce Me ngoma moja, sasa katika akili ya kawaida nani ametumia gharama kubwa hahahah, uwe unasoma vizuri kabla ya kuandika essay za ujuaji mwingi na uongo
Akikujibu nishtue...maana full kujitekenya alafu wanacheka wenyewe.We jamaa wa wapi wewe?! Hallelujah, History, Eneka na Fire ni ngoma 4 tofauti; sasa unalinganishaje gharama ya video 4 na video 1 ?! Au hata ukitengeneza video 4 mapato yake yanakuwa ni ya video 1?!
Duh! Halafu eti ndo unajiita Truths wewe!!! Nimekutandika maswali kuhusu Vevo umeshindwa kujibu hata moja kwa sababu, huwa hujui unachoongea bali unaongea vya kusikia!!!Niliwasikia Mwaka 1995, niliwafuatilia rasmi kuanzia mwaka 2007 kupitia magazeti ya Rai yenye kichwa cha Habari ifahamu freemanson na mkakati wa kutawala dunia..
Pia internet na vitabu vyao og vya siri hard copy. Havitolewi hadharani.
Internet Ina mchanganyiko WA conspiracy and bunches of lias. Unaweza kudanganyika sana.
Anyway sio lengo langu kujitutumua hapa.
Najua wengi ukisema masoni wanawaza kupata pesa na kutajirika. There is a price to pay. Hata wao wanaonya usiende kujiunga ukitaka kupata pesa.
Cha msingi Pesa zote za mazingaombwe, hupewi bila kua na source of finance. Lazima uwe na mradi unaoonyesha kua ndio chanzo cha kipato chako. Kupitia mradi, ndipo utakaotumika Kama chanzo cha Pesa na utajiri.
Utaonekana unafanya kazi Kama wengine lakini tofauti yako na wengine, wewe utafanikiwa kuliko wengine. Kwasababu wanachama wanatakiwa kua WA siri(secret society). Ila kwasababu mbalimbali wanajikuta wakifahamika waziwazi. Mwishowe Wanabaki Kua branded as society with secrets.
Mondi alimuomba gwaji msamaha kwa kumtaja.
Gwaji akasema amemsamehe.
Na kwamba hatasema tena jinsi Dai alivyojiunga na masonic.
Dai akawajibu mashabiki zake kua wamwambie alete huo ushahidi(NotaBene:-,hakumwambia Gwaji directly) Bali Dai aliposti kwa mashabiki na Critics wa wake.
Na hapa Gwaji hakujibu tena. Which means haimuhusu.
Kwasababu Gwaji alikua anasubiri aambiwe direct ili abonyeze kitufe cha double manifestation. It didn't happen anyway.
Probability.
Kama Dai aliwasiliana tena kwa siri na Gwaji na ku-apologize, no one really knows.anything is possible.
Lakini Critics walipaswa kuhamia tena kwa Gwaji kwenda kumuambia kile Dai anakijibu kuhusu yeye Gwaji kwamba hawezi kutaja
Lakini haikutokea.
Kuhusu Eric shigongo.
Mimi sio fan wa huyu MTU wakati wowote ule katika maisha yangu Lakini namheshimu sana kupitia sifa nzuri nilizowahi kuzisikia kuhusu kazi zake za utunzi wa hadithi za novels, japo sijawahi kusoma hadithi yake yoyote ile. Na muda unavyoyoyoma sioti kuja kusoma chochote tena.
Nina uhakika haujamtaja bure, kuna kitu kuhusu yeye unakikubali. Lakini siwezi kuonyesha kumdharau kwasababu hajanikosea. Kwangu Mimi , he's a working hard person.
Nami namsubiri!!Akikujibu nishtue...maana full kujitekenya alafu wanacheka wenyewe.
Huna cha kutotaka kufafanua kwa kina wewe wakati umeshasema source yako ni Gwajima ambae alishindwa kutoa huo ushahidi na source yako nyingine ni magazeti ya Shigongo!!!Asante, alimradi sijapata ZerO.
Na hapo sikujua kama utasahihisha Kama mtihani.
Usitake nifafanue kwa kina ishu za hatari. Nachojua nimesema ukweli Mchungu.
Wanasema;- Dawa ni chungu kuimeza lakini utapona.
Huna cha kutotaka kufafanua kwa kina wewe wakati umeshasema source yako ni Gwajima ambae alishindwa kutoa huo ushahidi na source yako nyingine ni magazeti ya Shigongo!!!
Yaani hadi sasa hujafahamu Gwajima alikuwa anatumia technique ya kuwavuta watu wafuatilie ibada zake kupitia Youtube?! Kwanini kila kitu alikuwa anasema "nitamwaga kila kitu jumapili na usisahau kufuatilia kupitia Youtube!" Watu kama nyinyi ndo mkawa mnajazana Youtube kusubiri akitoa ushahidi wa Diamond kuwa Freemason!!!
Very funny indeed!!!!Kwangu Gwajima ni source Valid kabisa.
Kwa yeye kuongea KANISANI kwake kila jumapili alishalitolea ufafanuzi anaongea na wana familia wake. Japo sisi wengine tunapata hizi footage na audios kupitia mitandaoni.
Gwaj ameshathibitisha kwa utafiti kua Bashite kafoji cheti. And it happens to be true.Resources za kufanyia utafiti anazo Kama Pesa na logistics. ni msomi anaheshimika kwa PhD yake.
Kwahiyo ya kwako ya kuamini ambacho hakijathibitishwa ndo great mind yenyewe?!Hata hilo la Diamond unalielezea very wrong ili kupotosha uonekane huko sahihi.
Only simple minds wata fall for this.
What did you just say?! Kumbe Gwajima hakuahidi? Hebu jisome tena ulichokiandika hapo kabla:Gwaj Hakuwahi KUHAHIDI kutoa ushahidi WA diamond kua Freemasons. That's utterly wrong.!!! Kama hujui am a hujaelewa kitu ni bora useme. Ili ufafanuliwe. Si ajabu wengine kubishana ni professional yenu.
Kama hakuahidi wewe hilo suala la kwamba Gwajima alisema "...hatasema tena!" umelitoa wapi?! Jambo ambalo hakuahidi kwanini aseme "asingesema tena?"Mondi alimuomba gwaji msamaha kwa kumtaja.
Gwaji akasema amemsamehe.
Na kwamba hatasema tena jinsi Dai alivyojiunga na masonic.
Hivi unafahamu kwamba hapo kabla ulisema:Shigongo simjui na siko interested naye. Naona unamtaja kwakua ulimfuatilia hadi akakuathiri kwa informations zake. Nakupa pole Sana. Magazeti ya shigongo ni yapi, yanaitwaje ambayo yanakiuka kanuni kwa kusema uongo pasipo kufungiwa na jamhuri?
Oh! Kwahiyo hapa napo ukaanza kumheshimu kupitia sifa mzuri unazozisikia bila kujiridhisha mwenyewe ikiwa hizo sifa ni za kweli au hapana?! Btw, mtu ambae huna interest nae inakuaje tena unakaa chini kusikiliza ukisimuliwa "sifa zake mzuri?"Kuhusu Eric shigongo.
Mimi sio fan wa huyu MTU wakati wowote ule katika maisha yangu Lakini namheshimu sana kupitia sifa nzuri nilizowahi kuzisikia kuhusu kazi zake za utunzi wa hadithi za novels, japo sijawahi kusoma hadithi yake yoyote ile. Na muda unavyoyoyoma sioti kuja kusoma chochote tena.
Kama unaamini amevuliwa, nakuomba tafadhali, tena sana sana! Nakuomba unijibu post yangu [HASHTAG]#165[/HASHTAG] or else, hicho nacho ni kichekesho ambacho ningependa kufahamu natakiwa kutuma neno gani kwenda namba ipi ili nipate vichkesho na vituko vingine zaidi!!!!Kama mondi wako kavuliwa nguo na kashachutama. Sijui utafanyaje.?
Eti?! To be honest, kusahau uliyoandika more than 24 hours earlier inaweza kuvumilika lakini unaposahau kitu ulichosoma muda huo huo; kwa hakika panahitajika upako kuweza kuvumilia!!Na uje na ushahidi jinsi gani Gwaji alidanganya.
Hakuna niliposema Gwajima amedanganya bali nimekuuliza maswali kuhusu Gwajima na hiyo video! Kinyume chake, umeshindwa kujibu swali lolote miongoni mwa yote niliyokuuliza! Hata hivyo, sishangai kutojibu lolote manake nilishafahamu kabla kwamba usingekuwa na ubavu wa kujibu na ndio maana hoja hiyo nili-conclude kwa kusema:Kwahiyo msingi wa kuamini kwako kwamba Diamond ni Freemason ni kwa sababu Gwajima alisema!!! Eti Gwajima ana video kuthibitisha kwamba Diamond ni Freemason!! Tell me something Mr. Truths!! Huyo Gwajima ana video za Freemasons wote au ya Diamond peke yake?!
Also, Freemason wanaendesha mambo yao in closed doors! Huyo Gwajima alipata vipi hiyo video?! Au na yeye ni mmoja wao?! Oh! Utasema alipewa! Huyo ambae alitengeneza hiyo video ni kwa madhumuni gani? Freemasons ipo kisheria! Sasa kulikuwa na sababu gani ya kutengeneza video ya "kufichua" siku alipojiunga as if kujiunga na Freemason ni kwenda kinyume na sheria?
And finally, nilichosema kikadhihiri manake umeshindwa kujibu na badala yake umeweka jibu la uongo kwamba nimesema Gwajima amedanganya!!!I know, nimekuonea kwa maswali ambayo katu hutakaa ukaweza kuyajibu!!!! Ni kama ulivyoshindwa kuyajibu maswali kuhusu Vevo!!!
Dalili kwamba maneno yako chanzo chake ni wewe mwenyewe ni hii hapa chini:Labda useme, wewe mwenyewe ni nini chanzo cha taarifa zako. Uziweke hapa ili tujue wewe ni witty kiasi gani
Kumbe Gwajima wala hakuahidi lakini unakuja hapa na kusema:Gwaj Hakuwahi KUHAHIDI kutoa ushahidi WA diamond kua Freemasons.
Mtu hajaahidi kwamba angesema, sasa wewe umetoa wapi madai ya kwamba alisema "asingesema tena!" How come useme "asingesema tena" wakati hakuahidi kusema?Gwaji akasema amemsamehe. Na kwamba hatasema tena jinsi Dai alivyojiunga na masonic.
Is this a genius way of admitting your arguments are baseless?! You don't rest your case Sir, bali ni kwamba HUNA HOJA!Otherwise I rest my case.. Ova.