Hawezi kushindana na WCB tayari wamemzidi mbali sana. Mimi ni muumini wa ukweli na ni miongoni mwa watu wanaopenda kazi za Ali Kiba zaidi ya Diamond (WCB) ila siwezi kuaminishwa kuwa Ali anaweza kutikisa WCB.Akiamua anafudisha ushindani ni swala la kuka chini mnayajenga,unarusha jiwe kwenye mzinga wa nyuki inatosha.
Toa hoja za msingi kwann Ali haweziNiliwahi kuandika kuhusu huyu bwana mdogo Ali, kuwa NO MORE hata nyimbo zake zimekuwa za kuunga unga na kupigiwa promo na mkewe wa marekani.
Ila nilitupiwa mawe sijui hujui muziki, mara wewe babu kalee wajukuu [emoji23]!!
Nipe sababu za msingi mi naamini km alikiba akiamua kuwekeza anaweza,we ukumbuki kuna kipindi Ali alikuwa juu ya WCB tena peke yake?Hawezi kushindana na WCB tayari wamemzidi mbali sana. Mimi ni muumini wa ukweli na ni miongoni mwa watu wanaopenda kazi za Ali Kiba zaidi ya Diamond (WCB) ila siwezi kuaminishwa kuwa Ali anaweza kutikisa WCB.
Ali hawezi kushindana na WCB.
Ndiyo hiyo uliyosoma zaidi utakuwa mbea.Toa hoja za msingi kwann Ali hawezi
Nikumbushe hicho kipindi alichokuwa juu.Nipe sababu za msingi mi naamini km alikiba akiamua kuwekeza anaweza,we ukumbuki kuna kipindi Ali alikuwa juu ya WCB tena peke yake?
Kwani clouds awamsaidi Tena? Mh Johoo aka BASHA Wa Mombasa... Wakiendeke kumsuport atawasha WCBKusema ukweli tangu alikiba aamue kujiweka mbali na ushindani wa mziki wa kibiashara na diamond music industry hainogi tena.
Mziki kwa sasa umetawaliwa na vijana wa wcb tu.,hdi inachosha wanatoa nyimbo mpya Mara kwa Mara hadi inaboa.
Nilitegemea ushindani utakuwa juu sana baada ya kiba kuzindua leb yake na kuwatambulisha vijana wake.
Cha ajabu baada ya media tour wamekuwa kimya hakuna tena nyimbo hata wasanii wake hawajulikani kivile labda kwa wale wafuatiliaji sana wa music.
Kama anapita hapa jf naomba rudisha ule ushindani wa kibiashara.
Imefika hatua sasa wanashindanishwa WCB wenyewe kwa wenyewe sio kiba tena.
No music without business rival competition.
Ni sheria ya dunia nzima.
Miaka10 mnamuacha diamond anafanya mziki anavyotaka hapana hata Nigeria kuna davido/wiz
hajajiweka mbali ila game gumu mkuu unadhani hataki kutrend basi anaaka sana lakini vijana wa WCB wanapendwa hata waimbe takataka raia zinaelewaKusema ukweli tangu alikiba aamue kujiweka mbali na ushindani wa mziki wa kibiashara na diamond music industry hainogi tena.
Mziki kwa sasa umetawaliwa na vijana wa wcb tu.,hdi inachosha wanatoa nyimbo mpya Mara kwa Mara hadi inaboa.
Nilitegemea ushindani utakuwa juu sana baada ya kiba kuzindua leb yake na kuwatambulisha vijana wake.
Cha ajabu baada ya media tour wamekuwa kimya hakuna tena nyimbo hata wasanii wake hawajulikani kivile labda kwa wale wafuatiliaji sana wa music.
Kama anapita hapa jf naomba rudisha ule ushindani wa kibiashara.
Imefika hatua sasa wanashindanishwa WCB wenyewe kwa wenyewe sio kiba tena.
No music without business rival competition.
Ni sheria ya dunia nzima.
Miaka10 mnamuacha diamond anafanya mziki anavyotaka hapana hata Nigeria kuna davido/wiz
Tatizo liko wapi hata miaka 20?Miaka 10 anatamba tu