Alikiba kufanya collabo na Ne-Yo

Alikiba kufanya collabo na Ne-Yo

mr.piano

Member
Joined
Apr 29, 2015
Posts
11
Reaction score
3
Naam waswahili husema ukubwa dawa basi ndo hivyo maneno yanatimia kwani msanii mkongwe wa muziki wa bongoflavour hapa nchini king kiba sasa ameamua kuja ni kitu kingne kizuri kwa mashabiki wake kwa kuja na ngoma kali atakayomshirikisha msanii mkubwa kutoka USA Ne-Yo.
King kiba ameyasema hayo wakati akihojiwa ktk live show kubwa na ya kijanja zaid hapa afrika mashariki Friday Night Live (FNL) kipindi kinachorushwa na EATV. Mbali na kufanya kolabo hyo pia sauti soul kundi la muziki kutoka kenya nalo limesema wameshafanya kolabo na mkali huyo kutoka bongo wimbo utakao kua tayar kuachiwa wakati wowote toka sasa
Wakiyazungumza hayo pia sauti soul ambao nao walikuwepo kwenye show hiyo walionekana kua na furaha sana na kumkubali mwanamuziki huyo kwa kuziimba nyimbo zake tangu 'sinderela' mpaka 'cheketua' ikionyesha kua anakubalika sana pia nchini kenya na kwingineko afrika mashariki congrats ali kiba this is great step komaa mzazi we are ready to support you!!
 
Back
Top Bottom