Two dimension array
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 1,592
- 2,383
Una mjua timaya vizuri? Yule jamaa ni hatarinimechagua nisisikilize nyimbo za ali kiba
kwasababu anaimba na wasanii wa hovyo hovyo
simjui kwakuwa hana umaarufu
Sio hana umaarufu,wewe ndio humjuisimjui kwakuwa hana umaarufu
ile dance ni Kali sana kaimba na Rude boy. hiyo ukiwa umelewa ni nzuri kuamsha majoka..Sio hana umaarufu,wewe ndio humjui
Nenda youtube angalia nyimbo inaitwa bum bum ina views 51 milions na nyingine inaitwa Dance
Sent using Jamii Forums mobile app
simjui kwakuwa hana umaarufu
Hana umaarufu hajulikaniUtakuwa huujui muziki na unasikiliza kwa kufuata mkumbo. Timaya ni moja ya wasanii maarufu kabisa Nigeria na nje ya Nigeria ana hit songs nyingi sana.
Nani kasema wimbo ni wa alikiba??Kiba kashirikishwa sio mwenye wimbo