π π π π πAlijaza sema hakutaka show off so walicrop picha.
Kwani mwanzoni walikuwa wanashindana?Mbona Diamond sikuhizi Hashindani na Davido wakati zamani walikua wanawiana kimataifa?
[emoji23][emoji23][emoji23] nlikua nasubiri comment kama hiiAlijaza sema hakutaka show off so walicrop picha.
Aah aah aah!Apendi show off..ujui kama juzi ali piga show uwanja wa taifa ukajaa.ila akaomba watu wasi post iwe siri yao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe eeh!tatizo media zilizokua zinamjaza upepo aonekane mkubwa zaid hawakupata walichotaka ndo maana hata ukifuatilia sasa wanampa promo yakinafki si kama ya mwanzo OVA.
Alikiba anapiga bangi sanaKuna kipindi Fulani kiba alikuwa anafanya vizuri Sana na ushindani wake na diamond ulikuwa mkubwa Sana ila kwa sasa umepungua sana kwa miaka hii miwili ngoma zake zimekuwa hazifanyi vizuri japo ni nzuri mfano ngoma yake mbio ni wimbo mzuri ukipinga hili nitakushangaa
lakini haikufanya vizuri,Kuna ngoma amefanya na aslay nayo ijafanya vizuri,Kuna ngoma amefanya na will Paul na ommy dimpoz nayo haijafanya vizuri wakati nandy amefanya na huyo huyo willypaul lakini imefanya vizuri.
ukija upande wa show mwaka Huu amepata show tatu tu na Kati ya hizo moja amefanya Uganda lakini haikujaza ingawa kiingilio kilikuwa Cha chini kilikuwa elfu 20 tu ya Uganda wakati diamond alifanya 50000 wakati vip ilikuwa mil 1 na akajaza tatizo la kiba ni wapi?mwenzake anazidi kupanda yeye anazidi kushuka hata Mario anamshinda kwa kufanya vizuri Sana kuliko za kiba.
je kwanini jamaa afanyi vizuri tatizo liko wapi kwa huyu kijana?
Kwani Kiba Na Diamond kuna siku walishawahi kuwa washindani?Kwani mwanzoni walikuwa wanashindana?
Kwani mwanzoni walikuwa wanashindana?
Kwani Kiba Na Diamond kuna siku walishawahi kuwa washindani?
Nani kati yao alisema anashindana na mwenzake?
the guy is too much overratedKuna kipindi Fulani kiba alikuwa anafanya vizuri Sana na ushindani wake na diamond ulikuwa mkubwa Sana ila kwa sasa umepungua sana kwa miaka hii miwili ngoma zake zimekuwa hazifanyi vizuri japo ni nzuri mfano ngoma yake mbio ni wimbo mzuri ukipinga hili nitakushangaa