Ngwananzengo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 1,911
- 1,322
- Thread starter
- #21
Huyo mwanamke anataka kurudi ila anashindwa.
Kwahiyo njia nyepesi ni kumvuta taratibu kwa njia ya kuomba ushauri.
Duuuhh kazi kweli kweli. Ngoja nimwambie kama BADO ana nia arudiane nae